ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
CC ni chitchat na MMU ni mahusiano mwenzi na urafikiNdo maana mm nilirusha uzi kule MMU kuuliza kama kuna tofauti kati ya CC na MMU. Mm mara nyingi huingia MMU na Kule kwenye elimu hasa mambo ya Jf doctor. Nikaona ngoja niongeze exposure kwenye platform nyingine nilipoingia chitchat ukweli nikacheki sikuona tofauti kbs na MMU ikabidi niulize ili nielimishwe. Japo sikupata msaada.
Haya Ladyfurahia nisaidie basi CC ni jukwaa la namna gani?
Kwa haya maelezo yako wacha paingiliwe tu.CC ni chitchat na MMU ni mahusiano mwenzi na urafiki
ila cha kushangaza mambo ya mmu yanakuja cc na cc yanakwenda mmu ndo maana nashangaa mm
bora wangeleta sembe tungelishambulia si wameleta unga bwana khaaaaVipi tena lady? Wameleta habari ya sembe huku nini? Waambie huku hatuli sembe tunakula urojo, vitu laini laini
Sasa chitchat ni mijadala ya namna gani inahusika. Tayari najua sio mapenzi na.mahusiano na sio siasa wala biashara kwani vina majukwaa yake na sio biashara elimu na ujasiliami wala teknolojia. So kinachokuja huku ni aina gani ya mijadalabora wangeleta sembe tungelishambulia si wameleta unga bwana khaaaa