Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
Nilikua sijawahi kukutana na huyu jama kwa karibu kama siku ile ya Kumbukumbu ya Regia Mtema ambapo alikua MC, kuna mengi alisimulia lakini hili la kuondoka TBC lilinitafakarisha sana..................waliokuwepo waanze kutiririka mimi nitajazia simulizi za huyu jamaaa..........ama kweli ni jembe lililozinguliwa/KATALIWA TBC .......................
May the Lord's mercy be with you brother...............
- He is very analytical
- very deep in reading
- very intellectual
- very.....................
May the Lord's mercy be with you brother...............