Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

Siku hizi nikiona kichwa cha uzi wa huyu jamaa, huwa siusomi ndani, maana najua fika ataongelea nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kanjanja tu, tena mwoga kama kunguru!

Sasa kama unataka kushindana na Mayala weka jina lako halisi hapa JF kama mwenzio alivyofanya.

Huwa nashangaa sana mtu unatumia id fake umejificha kwenye keybord halafu una ropoka hovyo wakati huna ujasiri wowote hata wa kubeba jiwe kwenda nalo barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huwa siwaelewi watu mnaokujaga na kauli hizo za watu kutumia hizo mnaita ‘fake id’. Unajua malengo ya JF? Nikukumbushe, moja ya malengo yake makuu ni watu kuongea kwa uhuru na hasa kukosoa mienendo ya serikali na watendaji wake bila woga na hizo mnaita ‘fake id’ zinawasaidia members kufanya hivyo.

Labda umeanza jana kuijua na kutumia mitandao ya kijamii ila kutumia jina lolote unalotaka ni moja ya uhuru tulio nao huku mitandaoni!

Ila hongera kwa kulipwa kodi za wananchi kuja kupoteza muda wako mitandaoni.
 
technically, Mkuu hii thread yako inahusiana Nini na Corona[emoji40].

Ok ngoja nirudi kidogo kwenye mada namm nichangie kidogo... Hii issue inaonekana imekaa privately Sana kwasababu inaonekana kumbe mnajuana nje na ndani utaratibu Mzuri mngefuatana pm mkatajenga kiuanaume. Kufanya hivi siyo njia sahihi.

Tangu lini wanaume tumeanza pigo za kusema "Leo nakuanika hadharani" hizi Ni kauli za wanawake wa Pemba sana Sana.

ONYO; "Corona yaingia Tanzania tuchukue tahadhari" Ummy mwalimu.
 
Sikuexpect aulize swali kama hilo la kukutaka uje na real I'd.
Lumumba buku 7 kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaah kumbe kweli wewe Ni shetani Ulipata Wapi hisia za kuandika kuwa "Bora Corona ije tu Tanzania" halafu usikute na wewe Ni baba Mwenye familia ya Watoto. Sasa kwavile tayari ulichokiomba kishafika Tanzania naomba kikitoka kwa huyo mama kije kwenye familia yako. Ili uone namna ambavyo serikali itavyofanya investment kwenye Corona kama ulivyodai..

Muda mwingine muwe mnaacha maombi ya kijinga kisa uchumia Siasa.

Pascal M. Alikuwa sahihi kabisa kukulinganisha na shetan maana ulitoa mawazo ya kishetani kabisaa.
 

Paskali kama ni mzalendo kweli tunategemea awataje pia hao mashetani na wendawazimu anaosema wako serikalini.
 
Shida ya watu wengi, wanahisi kwamba binadamu wote tunafanana kimawazo au mtazamo ikitokea unaonesha msimamo wako bila kuwafata au ukiwa opposite na mawazo yao basi hujiinua na kuanza kukupomdea wakizani watabadili mtizamo wako.

Mawazoya mtu yaheshimiwe Siku zote msitake accoment mmavyotaka nyinyi haiwezekani, ukweli mchungu unachoma mpaka kwenye moyo narudia tena msimtusi mtu au kumsimanga au chochote kisa hawapi support kama mnavyotaka.ukweli unakaba sana.

Nashangaa sana mnamuweka mtu afu mnamsema hiii tabia sijawai ona Kwa watu makini huu, ni udhaifu. Mwanaume kabisa unaka kitako unamsema Mwanaume mwenzio? Duuuuh Mwanaume huwa hatupo hivi. Ujumbe ufike.

Mnafeli sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…