technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,642
- 58,377
Mupe!! Mupe vipande vyake!Pascal nimeona tuhuma zako ukituhumu coment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Huyu ni spent force, ukabila unamtesa hadi kwenye kizazi chake.Pascal nimeona tuhuma zako ukituhumu coment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Yes, kama inakuja kuua wauaji, watesi and the like, basi acha ije wauaji wanaweza kuondoka, Inshallah waondoke wabaki watu wema tu!Korona imefika now you are happy.
Aaggh mambo yenyewe ndio hayo ya kula pesa sijui za nani, nikajua ishue nzito nzito.Pascal nimeona tuhuma zako ukituhumu coment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi?
Ulikula pesa kiasi gani za lowwasa 2010- 2015 ?
Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?
Shetani ndio baba wa magonjwa hilo halina ubishi.Pascal nimeona tuhuma zako ukituhumu coment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi?
Ulikula pesa kiasi gani za lowwasa 2010- 2015 ?
Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?
Nikwambie tu ukweli mimi ni baba yangu ni mkurya pure na mama yangu ni msukuma ila siwezi kumtetea magufuli kisa kabila la mama.
Siogopi chote na sina njaa ya pesa wala ya chochote kama ulivyo wewe naomba uache uchonganishi, ukabila na njaa.
Korona imefika now you are happy.
Huyu ni spent force, ukabila unamtesa hadi kwenye kizazi chake.
Nyote tu wachumia tumbo. Hakuna mzalendo hata mmoja kati yenu.
Sijui kwa nini namuonea huruma pasco
Yani pasco yule wa enzi za kitimoto leo anapaparika ka bisi zipo kikaangoni!