Ukabila ni utambulisho wa mtu, kama jinsi tunavyoelewa kuwa yeye (JK Nyerere) alikuwa ni MZANAKI wa mkoa wa MARA. Na si kila neno alilolitoa lilikuwa sawa na sahihi, isipokuwa Mungu pekee ndiye sahihi mda wote! Elewa kuwa bila kuelewa kabila la mtu utapata shida kuelewa tabia ya mtu. Sisi tuliobobea katika "saikolojia" tunaelewa hivyo