Pascal Mayalla: Rais punguza ukali


'Rais Magufuli ni mtu wa kabila langu, na nikienda Chato, nafikia hotelini kwake
...............' Naomba kukuuliza hilo kabila la wasukuma, wasubi au wazinza? ni hayo tu kwa leo. Hongera kwa misimamo isiyoyumba
 
Pasco acha fujo ule utundu wako wa udsm hujauacha tu ....maana ulikuwa unapendaga kujibu maswali hata kama hujayaelewa kwa kifupi na ww ni mpenda sifa na mjuaji
Mkuu Res Jeff, nikumbushe hizo fujo na utundu wa UDSM. Mimi ni mpenda sifa kivipi? na mjuaji kivipi? .
Paskali
 
Mkuu paskali Mungu akubariki maadamu umeamua kusimama katika ukweli na haki
Mkuu Res Jeff, nikumbushe hizo fujo na utundu wa UDSM. Mimi ni mpenda sifa kivipi? na mjuaji kivipi? .
Paskali
Usijubu maswali yasiyo na maana mkuu.simamia kilicho cha kweli na haki kwa uaminifu.watu wanataka waogopwe kiasi kwamba wasiulizwe kwa kukosea kwao au kwa kutotenda haki wanazozipindisha. Umefanya sehemu yako ndugu na umejitendea haki na kututendea haki wapenda haki wote. Waache wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa waendelee na unafiki na upofu wao na uharibifu.
 
Kumbe ana hoteli chato? Halafu haina wapishi wa viwango. Dah! Kwani huwa wanapika nini cha ajabu hivyo hapo?
 
'Rais Magufuli ni mtu wa kabila langu, na nikienda Chato, nafikia hotelini kwake...............' Naomba kukuuliza hilo kabila la wasukuma, wasubi au wazinza? ni hayo tu kwa leo. Hongera kwa misimamo isiyoyumba
Mkuu Akasankara, kwenye kutaja makabila, reference hufanywa kwa locational generalisation kuwa Wahaya kwao ni Kagera, ndani ya Wahaya kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa Kiziba, Wahamba waMuhutwe, Wayoza na Waendangabo waBugabo, Wanyaiyangilo wa Muleba, Wasubi wa Biharamulo, na ndani hivyo vikabila kuna koo 8 ambazo ni Bumbira, Edangabo, Ganda-Kiaka, Hamba, Hangiro, Mwani, Nyakisisa, Ekiziba na Yoza.

Vivyo hivyo kwa Wachagga kwao Mkoa wa Kilimanjaro generally lakini kuna Wapare ndani ya Wapare kuna Wagweno etc, ndani ya Wachagga kuna Wamachame, Wakibosho, Warombo, Wamarangu; Wakirua, Wasiha etc

Vivyo hivyo kwa Wasukuma na makabila mengine yote.

Paskali
 
Kabla Ya Kujaribu Kumshauri Rais Wa Nchi Nzima Anza Kwanza Na Mbowe Wa Ka Chama Kadogo Ili Tuone Kama Utamweza JPM, Huyu Mbowe Hashauriki, Hakosolewi Wala Haambiliki Na Yeyote Hususani Mambo Yanayohusu Pesa.Tusaidie Kumshauri Wanachama Tunaburuzwa
 
Kljjjj"jj
Kwani aliwania u DC?

Pascal Mayalla ni kundi la Membe alisha athirika hivuo ushauli wake ni wa mashaka
ijapo ni kweli Magufuli amemenya siasa

Anapiga ndogondogo kwa sana kuutaka.
 
GhgjmjjjkjjgkhkgjjkglhgjvlhGhgjmjjjkjjgkhkgjjlhgjvjjGhgjmjjjkjjgkhkgjjkglhgjvlhGhgjmjjjkjjgkhkgjjlhgjv
Mbowe naye anatakiwa apunguze ukali ili tuwe tunamkosoa kwa Uhuru.

Sasa hivi ukimkosoa unaitwa msaliti

Mbowe naye anatakiwa apunguze ukali ili tuwe tunamkosoa kwa Uhuru.

Sasa hivi ukimkosoa unaitwa msaliti

Mbowe naye anatakiwa apunguze ukali ili tuwe tunamkosoa kwa Uhuru.

Sasa hivi ukimkosoa unaitwa msaliti

 
Pasco mayalla,maneno ya aya ya nne,kama umemchongea vilee!
Kumbe ni mfanyabiashara! Na analipa kodi yetu kama inavyostahili?
 
Pascal binafsi nilikuwa simjui siku ile pale Ikulu ndiyo nilimwona kwenye tv kwa mara ya kwanza, hongera zake.
 

Mkuu mimi sikuhitaji "locational generalisation" mahitaji ilikuwa ni kufahamu kabila la mtukufu pekee! Hata hivyo ufafanuzi wako umeheshimika zaidi
 
Mkuu mimi sikuhitaji "locational generalisation" mahitaji ilikuwa ni kufahamu kabila la mtukufu pekee! Hata hivyo ufafanuzi wako umeheshimika zaidi
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alitukataza kufuatilia makabila ya watu, unless kama unataka kufanya tambiko.

Paskali
 
Kabla Ya Kujaribu Kumshauri Rais Wa Nchi Nzima Anza Kwanza Na Mbowe Wa Ka Chama Kadogo Ili Tuone Kama Utamweza JPM, Huyu Mbowe Hashauriki, Hakosolewi Wala Haambiliki Na Yeyote Hususani Mambo Yanayohusu Pesa.Tusaidie Kumshauri Wanachama Tunaburuzwa
Mkuu Mkaruka, Mbowe nilimshauri hapa

Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
Na alitekeleza kikamilifu mpaka leo, mpaka hakuna tena maandamano ya UKUTA.

Hii sio mara ya kwanza kumshauri Magufuli, angalia hapa nilimshauri nini, angalia kwa makini tarehe ya bandiko hili kisha fuatilia utekelezaji ukifanyika baada ya siku ngapi.

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Paskali
 

Ushauri line ya mwisho sikubalianinao hata kidogo hapo ulichemka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…