Mzee wa Torano
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 519
- 700
Kumbe Magufuli ana Hoteli? Thamani yake ikoje. Ni ya nyota ngapi? Ameijenga toka lini? Ni kwa mishahara yake au dili? Anyway hilo huwezi kujua lakini I can smell fishy kama kweli ni rafiki wa masikini anayejipambanua na Unyerere alikufa bila hata Mghahawa!
Unanichanganya mkuu. Aliyepikiwa chakula siku ile ulikuwa ni wewe au Pasco? Au mlienda wote? Nakumbuka Pasco tulikutana siku moja Samora wakati tunapiga stori alisema kitu kama hiki cha kupikiwa msosi na mazeli!Mkuu kwa wale wazamani wakati wa enzi zangu za kipindi cha Kiti Moto, wananifahamu, katika maisha yangu yote ya miaka 25 ndani ya tasnia ya habari, sijawahigi kuwa muoga, au kuhofia lolote wala yeyote!.
Ni kweli kwenye maonyesho, nilipata fursa ya kumsalimia Mhe. Rais, kwa msiofahamu, Rais Magufuli ni mtu wa kabila langu, na nikienda Chato, nafikia hotelini kwake, na kuna wakati nilifika na wageni fulani wazungu, kula vyakula vya pale kuliwashinda, Mama Janet Magufuli in person, aliingia jikoni kutupikia!. Hivyo ningekuwa ni mtu wa kujikombakomba kwa wakubwa, huu sasa ndio ungekuwa wakati wenyewe!.
Mimi ni muumini wa ukweli, na uhuru, yaani kuwa mkweli daima, truthfully na kuwa huru, free, kuanzia freedom of speech, kusema chochote, freedom of expression, uhuru wa kujieleza, freedom of opinion, uhuru wa kutoa maoni yoyote, freedom of movement, uhuru wa kwenda popote, freedom of employment, uhuru wa kuajiriwa kazi yoyote hadi freedom of love, kumpenda yoyote, tena bila limit number etc!.
Ni kweli Magufuli ni mkali sana, waliomzunguka wanamuogopa kumwambia ukweli!, mimi ni muumini wa ukweli kuwa Magufuli ni mtumishi wetu, sisi ndio tuliomuajiri kwa kura zetu, na sisi ndio tunaomlipa mshahara kwa kodi zetu, hivyo sisi ndio mabosi wake!. Kwa vile yeye ndie tuliyemchagua kuwa kiongozi wetu mkuu, tunapaswa sio kumuogopa, bali kumuheshimu, na ndicho nilichokifanya, kumuheshimu na kumueleza ukweli kwa unyenyekevu.
Paskali.
Kuna mmoja hapo ni Team Magu na mwingine alikuwaga Team mamvi...yaani utata mtupuPasco na Pascal Mayalla wapi na wapi?
ascal, "anayo tena siyo moja". Nimekuuliza nyota ngapi? "tena siyo moja" umetupa pa kuanzia. Anataka kutenganisha biashara na uongozi, aanze na hoteli hizo. Nahisi harufu ya ufisadi kwa JPM. Time will tell.Yes anayo na sio moja!.
Sio kosa Mtanzania yoyote kumiliki mali yoyote alimradi hiyo mali iwe ni mali ya halali!.
Paskali
Kwa faida ya katiba ya JMT.Apunguze ukali kwa faida ya nani ??
Kwa faida ya majizi au kwa faida ya wananchi??
Pasco na Pascal Mayalla wapi na wapi?
Mkuu Mzito Kabwela, hakuna utata wowote kati ya Pasco wa JF na Pascal Mayalla, ni mtu mmoja yule yule lakini katika nafsi mbili tofauti. Kila mtu mwenye jina la Pascal, Paschal, Paskali, Pasquale, Pasca, kifupi cha majina hayo ni Pasco, hivyo Pasco wa JF ni kifupi cha jina la Pascal Mayalla.
Mkuu Mcubic, kwanza asante kwa kuangalia kipindi changu cha Saba Saba na PPR, andelea kunifuatilia. Vipindi hivyo vinatangazwa katika vituo vitano vya TV, TBC, ITV, Star TV, Channel Ten, Clouds TV, na ZBC.
Kwa wale wazamani wanaonifahamu tangu enzi zangu za kipindi cha Kiti Moto, wananifahamu na wanafahamu type ya maswali yangu, nikweli jana nilikutana na rais Magufuli kule Saba Saba na baada ya kumsalimia nilimuhakikishia Watanzania wanampenda sana ila pia amezidisha ukali kwa kuzuia mikutano ya siasa.
Katika maisha yangu yote ya miaka 25 ndani ya tasnia ya habari, sijawahigi kuwa muoga, au kuhofia lolote wala yeyote!.
Ni kweli kwenye maonyesho, nilipata fursa ya kumsalimia Mhe. Rais, kwa msiofahamu, Rais Magufuli ni mtu wa kabila langu, na nikienda Chato, nafikia hotelini kwake, na kuna wakati nilifika na wageni fulani wazungu, kula vyakula vya pale kuliwashinda, Mama Janet Magufuli in person, aliingia jikoni kutupikia!. Hivyo ningekuwa ni mtu wa kujikombakomba kwa wakubwa, huu sasa ndio ungekuwa wakati wenyewe!.
Mimi ni muumini wa ukweli daima (nothing but the truth), na uhuru wa kujieleza na kutoa maoni, (freedom of expression and opinion), yaani kuwa mkweli daima, truthfully na kuwa huru kujieleza na kutoa maoni yangu freely kwa kuitumia, freedom of speech, kusema chochote, freedom of expression, uhuru wa kujieleza, freedom of opinion, uhuru wa kutoa maoni yoyote, freedom of movement, uhuru wa kwenda popote, freedom of employment, uhuru wa kuajiriwa kazi yoyote hadi freedom of love, uhuru wa kumpenda yoyote, tena bila limit number ya mtu mmoja mpenzi mmoja, etc!.
Ni kweli Magufuli ni mkali sana, na ukali mwingine hauna sababu za msingi, waliomzunguka wanamuogopa kumwambia ukweli!, kwa vile mimi ni muumini wa ukweli daima, sikuona shida kushauri kwa kuwa Magufuli ni mtumishi wetu, sisi ndio tuliomuajiri kwa kura zetu, na sisi ndio tunaomlipa mshahara kwa kodi zetu, hivyo sisi ndio mabosi wake!. Kwa vile yeye ndie tuliyemchagua kuwa kiongozi wetu mkuu, tunapaswa sio kumuogopa, bali kumuheshimu, na ndicho nilichokifanya, kumuheshimu na kumueleza ukweli kwa unyenyekevu.
Paskali.
Pascal Mayalla ni kundi la Membe alisha athirika hivuo ushauli wake ni wa mashaka
ijapo ni kweli Magufuli amemenya siasa
yeah utamkubali mtu kwa kumuona tu kwenye luninga n.k... lkn kuwa nae karibu ndo utamjua zaidi...jamaa namkubal sana
Mkuu Mokili Fumulauhi, asante. Pamoja sana.Pasco Mayalla Nakuheshimu sana, Na Nakushukuru Mno, Umefanya Jambo Jema sana Kwa Kufuungua Njia Kwa Waandishi Kuuliza Maswali yenye Maana na Yanayolenga Kuwa Kiyoo cha Kuonyesha yanayoendelea Nchini. I salute you Sir! and agian Thank you a Lot!
Ahahahaaa mkuu MWALLA, eti naniliuu!!!yeah utamkubali mtu kwa kumuona tu kwenye luninga n.k... lkn kuwa nae karibu ndo utamjua zaidi...
jamaa alikuwa umoja haouse EU kama naniliuu .. duh jamaa anajiona sana.
Acha unafiki.... Pascal kajibu vizuriAkija humu anamuita rais Dik.teta,akiwa live anamuita mtukufu.hamshangai kwa nini hamumuoni humu siku hizi kukosoa uteusi.jamaa mnafiki
Pasco acha fujo ule utundu wako wa udsm hujauacha tu ....maana ulikuwa unapendaga kujibu maswali hata kama hujayaelewa kwa kifupi na ww ni mpenda sifa na mjuajiMkuu Mcubic, kwanza asante kwa kuangalia kipindi changu cha Saba Saba na PPR, andelea kunifuatilia. Vipindi hivyo vinatangazwa katika vituo vitano vya TV, TBC, ITV, Star TV, Channel Ten, Clouds TV, na ZBC.
Kwa wale wazamani wanaonifahamu tangu enzi zangu za kipindi cha Kiti Moto, wananifahamu na wanafahamu type ya maswali yangu, nikweli jana nilikutana na rais Magufuli kule Saba Saba na baada ya kumsalimia nilimuhakikishia Watanzania wanampenda sana ila pia amezidisha ukali kwa kuzuia mikutano ya siasa.
Katika maisha yangu yote ya miaka 25 ndani ya tasnia ya habari, sijawahigi kuwa muoga, au kuhofia lolote wala yeyote!.
Ni kweli kwenye maonyesho, nilipata fursa ya kumsalimia Mhe. Rais, kwa msiofahamu, Rais Magufuli ni mtu wa kabila langu, na nikienda Chato, nafikia hotelini kwake, na kuna wakati nilifika na wageni fulani wazungu, kula vyakula vya pale kuliwashinda, Mama Janet Magufuli in person, aliingia jikoni kutupikia!. Hivyo ningekuwa ni mtu wa kujikombakomba kwa wakubwa, huu sasa ndio ungekuwa wakati wenyewe!.
Mimi ni muumini wa ukweli daima (nothing but the truth), na uhuru wa kujieleza na kutoa maoni, (freedom of expression and opinion), yaani kuwa mkweli daima, truthfully na kuwa huru kujieleza na kutoa maoni yangu freely kwa kuitumia, freedom of speech, kusema chochote, freedom of expression, uhuru wa kujieleza, freedom of opinion, uhuru wa kutoa maoni yoyote, freedom of movement, uhuru wa kwenda popote, freedom of employment, uhuru wa kuajiriwa kazi yoyote hadi freedom of love, uhuru wa kumpenda yoyote, tena bila limit number ya mtu mmoja mpenzi mmoja, etc!.
Ni kweli Magufuli ni mkali sana, na ukali mwingine hauna sababu za msingi, waliomzunguka wanamuogopa kumwambia ukweli!, kwa vile mimi ni muumini wa ukweli daima, sikuona shida kushauri kwa kuwa Magufuli ni mtumishi wetu, sisi ndio tuliomuajiri kwa kura zetu, na sisi ndio tunaomlipa mshahara kwa kodi zetu, hivyo sisi ndio mabosi wake!. Kwa vile yeye ndie tuliyemchagua kuwa kiongozi wetu mkuu, tunapaswa sio kumuogopa, bali kumuheshimu, na ndicho nilichokifanya, kumuheshimu na kumueleza ukweli kwa unyenyekevu.
Paskali.
Mkuu Mcubic, kwanza asante kwa kuangalia kipindi changu cha Saba Saba na PPR, andelea kunifuatilia. Vipindi hivyo vinatangazwa katika vituo vitano vya TV, TBC, ITV, Star TV, Channel Ten, Clouds TV, na ZBC.
Kwa wale wazamani wanaonifahamu tangu enzi zangu za kipindi cha Kiti Moto, wananifahamu na wanafahamu type ya maswali yangu, nikweli jana nilikutana na rais Magufuli kule Saba Saba na baada ya kumsalimia nilimuhakikishia Watanzania wanampenda sana ila pia amezidisha ukali kwa kuzuia mikutano ya siasa.
Katika maisha yangu yote ya miaka 25 ndani ya tasnia ya habari, sijawahigi kuwa muoga, au kuhofia lolote wala yeyote!.
Ni kweli kwenye maonyesho, nilipata fursa ya kumsalimia Mhe. Rais, kwa msiofahamu, Rais Magufuli ni mtu wa kabila langu, na nikienda Chato, nafikia hotelini kwake, na kuna wakati nilifika na wageni fulani wazungu, kula vyakula vya pale kuliwashinda, Mama Janet Magufuli in person, aliingia jikoni kutupikia!. Hivyo ningekuwa ni mtu wa kujikombakomba kwa wakubwa, huu sasa ndio ungekuwa wakati wenyewe!.
Mimi ni muumini wa ukweli daima (nothing but the truth), na uhuru wa kujieleza na kutoa maoni, (freedom of expression and opinion), yaani kuwa mkweli daima, truthfully na kuwa huru kujieleza na kutoa maoni yangu freely kwa kuitumia, freedom of speech, kusema chochote, freedom of expression, uhuru wa kujieleza, freedom of opinion, uhuru wa kutoa maoni yoyote, freedom of movement, uhuru wa kwenda popote, freedom of employment, uhuru wa kuajiriwa kazi yoyote hadi freedom of love, uhuru wa kumpenda yoyote, tena bila limit number ya mtu mmoja mpenzi mmoja, etc!.
Ni kweli Magufuli ni mkali sana, na ukali mwingine hauna sababu za msingi, waliomzunguka wanamuogopa kumwambia ukweli!, kwa vile mimi ni muumini wa ukweli daima, sikuona shida kushauri kwa kuwa Magufuli ni mtumishi wetu, sisi ndio tuliomuajiri kwa kura zetu, na sisi ndio tunaomlipa mshahara kwa kodi zetu, hivyo sisi ndio mabosi wake!. Kwa vile yeye ndie tuliyemchagua kuwa kiongozi wetu mkuu, tunapaswa sio kumuogopa, bali kumuheshimu, na ndicho nilichokifanya, kumuheshimu na kumueleza ukweli kwa unyenyekevu.
Paskali.
Nimeshtuka kidogo, Paskali siku hizi chache ulizojitokeza baada ya ule Uzi wangu, @Pasco wa JF amepotea kabisa, ha ha ha. Ila kwa vile yeye anakiri kuwa ni msukuma kama wewe, wote mliwahi kusoma sheria, wote mnakiri kuwa ni waandishi by professional na hata umri mnaonekana mnarandana (what a coincidence) basi hapajaharibika kitu.Mkuu Mokili Fumulauhi, asante. Pamoja sana.
Paskali
Mkuu Mwalla, mimi ni mtu niko very open, unaposema nilikuwa Umoja House kama naniliu unamanisha nini? .yeah utamkubali mtu kwa kumuona tu kwenye luninga n.k... lkn kuwa nae karibu ndo utamjua zaidi...