Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,907
- 7,123
Nikimalizia Johnmtembezi hapa katika vienga vya kutunga sheria, ili baadae tuwahi majukumu.
Huyu jamaa na sauti zake za ndani hasa za tahadhari sisichukuliwe kirahisi.
Malaika wananamna nyingi na hujui huwa wanakaa na akina nani.
Yeye aweza kuwa mmoja tu wa anayetumiwa na YEYE kwa wale From the Within ili kuwajulisha mataifa kuhusu yajayo.
Tuendelee kutafakari na kufuata tafakuri jadidi.