Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,899
- 29,218
KITIMOTOWatu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu wachache sana lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania.
Umaarufu wake ulisababishwa na nini?
Kwa wasiokua historians huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai hadi leo la “KITI MOTO.”
Neno kiti moto leo hii linatumika kama hivi, “Leo nyumbani nimewekwa kiti moto na wazee kwanini sitaki kuoa" au "Yule mtu leo kawekwa kiti moto hadi kalipa deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi, "twendeni nikawanunulie kiti moto pale wanajua sana kuitengeneza nyama ya kiti moto”
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Umaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi kama sijakosea Pascal alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi sana na hata wasio Watanzania.
Kipindi hiki ilikuwa ukikikosa unajuta, maofisini, mitaani, magengeni, mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikua ni juu ya kipindi cha jana usiku cha kiti moto.
Kiti moto ilikuwa inaita watu maarufu hususan viongozi na Pascal alikuwa anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikuwa wanaona kiti kinaunguza.
Hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali tata sana hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kwa ufupi kilikuwa kipindi kitamu sana na watu makini hawakupenda kukosa kukiona. Maswali yake yalikuwa mazuri, ya msingi, ya kujenga ingawa wakuu walikiona cha Moto kweli.
Huyu Pascal wa JF sio yule, najua kazeeka yule alikua Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.
Huyu wa JF kazeeka. Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kuzielewa kwa vijana wa leo. Mada za mafumbo, za kuuma na kupuliza, za kutotaka lawama, anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambua
"Read between the lines"
Ila yule aliyekuwa bosi wa ATCL kawanyuka wanaume wenzake wengi sana hata yule Huseni mikufu kamnyuka sana.
Hiki kipindi cha Kitimoto nakikumbuka sana na inaaminika kuwa alikifunga Mtumishi wa Mungu Askofu Mkuu Zacharia Kakobe. Askofu Kakobe alikuwa mtu wa mwisho kuhojiwa kwenye kipindi hicho halafu baada ya hapo kikapotea mpaka leo hii! Could be huyu mtumishi wa Mungu kilikuwa hakimfurahishi aliamua kwenda kukifunga? Inaweza kuwa alionyeshwa kwenye ulimwengu wa roho kuwa kina madhara huko mbeleni hivyo akaamua kwenda kukifunga. Yaani kwenye events kama hizi, hapo ndiyo watumishi wa Mungu ninapowanyooshea mikono, kabisa!Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu wachache sana lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania.
Umaarufu wake ulisababishwa na nini?
Kwa wasiokua historians huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai hadi leo la “KITI MOTO.”
Neno kiti moto leo hii linatumika kama hivi, “Leo nyumbani nimewekwa kiti moto na wazee kwanini sitaki kuoa" au "Yule mtu leo kawekwa kiti moto hadi kalipa deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi, "twendeni nikawanunulie kiti moto pale wanajua sana kuitengeneza nyama ya kiti moto”
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Umaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi kama sijakosea Pascal alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi sana na hata wasio Watanzania.
Kipindi hiki ilikuwa ukikikosa unajuta, maofisini, mitaani, magengeni, mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikua ni juu ya kipindi cha jana usiku cha kiti moto.
Kiti moto ilikuwa inaita watu maarufu hususan viongozi na Pascal alikuwa anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikuwa wanaona kiti kinaunguza.
Hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali tata sana hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kwa ufupi kilikuwa kipindi kitamu sana na watu makini hawakupenda kukosa kukiona. Maswali yake yalikuwa mazuri, ya msingi, ya kujenga ingawa wakuu walikiona cha Moto kweli.
Huyu Pascal wa JF sio yule, najua kazeeka yule alikua Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.
Huyu wa JF kazeeka. Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kuzielewa kwa vijana wa leo. Mada za mafumbo, za kuuma na kupuliza, za kutotaka lawama, anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambua
"Read between the lines"
HahaaWee ukiambiwa umsaidie huyo ben saa 8 utamsaidia nini.
Daaah!!Sawa mama yangu mzazi.
Mtu gani?
Ukimaliza ban yako bwana mdogo uje tena sawa ee
Mimi humu sijawahi potea
Kitimoto Chanel10Alikuwa akiendesha kipindi akiwa TV gani mkuu,,,,,maana mi namkumbuka wakati yuko RTD
Mwaka 1995 kama mtoa posti alivyotanabaisha TVT ilikuwa bado sana mkuu ,,,,,,,TvT.
Usimuone nyani mzee amejikalia juani ukadhani anaumwa au bwege. Itoshe kufahamu kuwa amekumbana na mengi na amekwepa mishale mingi na pale juani anatafakari ya kufanya.Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu wachache sana lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania.
Umaarufu wake ulisababishwa na nini?
Kwa wasiokua historians huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai hadi leo la “KITI MOTO.”
Neno kiti moto leo hii linatumika kama hivi, “Leo nyumbani nimewekwa kiti moto na wazee kwanini sitaki kuoa" au "Yule mtu leo kawekwa kiti moto hadi kalipa deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi, "twendeni nikawanunulie kiti moto pale wanajua sana kuitengeneza nyama ya kiti moto”
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Umaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi kama sijakosea Pascal alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi sana na hata wasio Watanzania.
Kipindi hiki ilikuwa ukikikosa unajuta, maofisini, mitaani, magengeni, mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikua ni juu ya kipindi cha jana usiku cha kiti moto.
Kiti moto ilikuwa inaita watu maarufu hususan viongozi na Pascal alikuwa anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikuwa wanaona kiti kinaunguza.
Hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali tata sana hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kwa ufupi kilikuwa kipindi kitamu sana na watu makini hawakupenda kukosa kukiona. Maswali yake yalikuwa mazuri, ya msingi, ya kujenga ingawa wakuu walikiona cha Moto kweli.
Huyu Pascal wa JF sio yule, najua kazeeka yule alikua Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.
Huyu wa JF kazeeka. Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kuzielewa kwa vijana wa leo. Mada za mafumbo, za kuuma na kupuliza, za kutotaka lawama, anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambua
"Read between the lines"
Paschal wa kipindi kile alikuwa paschhal sio huyu wa kipindi hichi amebadilika sana ila tusimlaumu sana umri nao na njaa lazma abadilike
Unamkosea heshima sasasi ndio huyu aliyekuwa anafanya mapenzi ya jinsia moja na yule boss mstaafu wa ATCL
Umefika mbali Sana mkuu. Heshima sio pumzi kwamba ukimpa Pascal kuishi Tena hauwezi.si ndio huyu aliyekuwa anafanya mapenzi ya jinsia moja na yule boss mstaafu wa ATCL
na baadae tukakirudisha dtvWalianzia DTV baadae wakahamia ITV
Pascal Mayalla,hawezi kupata uteuzi hata wa afisa mtendaji,CCM inatakiwa wamfikirie huyu nguli wa habari ili walau astaafu kwa heshima, kawafanyia mengi mazuri !! teuzi na teuzi zinapita ila jina hatulioni - kulikoni? - si vzr hivi.