Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 26,028
- 51,308
Bahari imetulia na wavuvi wanavuta mishipi kwa bidii. Ni LAZIMA avuliwe ama aiteme ndoano na chambo akitapike!!Bwana mkubwa amemeza ndoana na chambo kwa kumuweka KUB ndani.
Mnataarifiwa mfungue macho zile threads za Pasikali ni philosophy stone ya Harry Potter
Description
Mnataarifiwa mfungue macho zile threads za Pasikali ni philosophy stone ya Harry Potter
Huu ni ugonjwa unaosumbua watu wengi sana na kusababisha kutelekeza misimamo yao ya zamani. Ukiona msomi kama Julius Mtatiro anahama chama kwa maelezo kwamba anaona watoto wadogo wanateuliwa wakati yeye yupo tu anapambana upinzani, ujue kuna shida mahali kwenye jamii yetu....alafu kuna wakati alikuwa anakimbiza teuzi.