Pascal Mayalla anafaa kuwa Msemaji wa Serikali

If that nomination happens, Ofisi ya Msemaji wa Serikali itakuwa imepata mtu bora zaidi.

Paskali ni mtaaluma na ana wajihi na mvito kutekeleza majukumu hayo.

Kila la heri iwapo mamlaka za uteuzi zitaona Paskali anafaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mapungufu mengi huyo.rais mwenyewe anamjua vizuri hafai abakie na uandishi uchwara kwenye mablogu.
 
Magufuli aliwahi kumwambia Mayalla Mana yake njaa kwa lugha yakwao.sasa unategemea njaa itafanya nini hapo.
 
Yaani wewe ndio umeharibia Pascal Mayala,unajua fika Mheshimiwa hapangiwi kitu na yoyote unayoyafanya hapa huoni unambomoa Pascal badala ya kumjenga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…