Asalaam,
Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu.
Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako. Karibuni.