Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,542
Wanajamvi, natafuta mshirika katika shughuli zangu za biashara, nina kampuni changa ya ujenzi nimeshindwa kupata wataalamu wa kudumu kila ninayempata anakosa uvumilivu anakaa kidogo na kuondoka.
Ninataka partner ambaye amesoma Civil Engineering au Archtectural studies not below 25yrs of age, awe committed na mcha Mungu pia awe anaishi Dodoma au Iringa au Njombe au Mbeya pia awe na experience ya kazi katika sector binafsi na kama hana hiyo experince basi awe fast learner wa mazingira ya sector binafsi.
Aliye serious ani PM