Partner wa biashara ya salon

Spinster

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
487
138
habari humu, nahitaji partner wakuanzisha nae biashara ya salon yakike, Nipo Dar.. Mimi najua kuseti, kufanya Makeup, kushonea weaving zote na kutengeneza wigs vizuri kabisa. Mtu nnaemuhitaji awe anajua kusuka mitindo yote mimi sijui kusuka ndo mana lazima yeye ajue. Nna vifaa vyote vyasaloon. Nikushare gharama zakodi na vifaa vilivyopelea. Alie interested anipm tafadhari
 
H
habari humu, nahitaji partner wakuanzisha nae biashara ya salon yakike, awe anajua kusuka mitindo yote. Nna vifaa vyote vyasaloon. Nikushare gharama zakodi na vifaa vilivyopelea. Alie interested anipm tafadhari
Hujasema ulipo
 
Back
Top Bottom