Kampuni ya clearing and forwarding ya Real Aviation, clearing and forwarding services inatafuta patner wa kibiashara kwa malipo ya commission. Kampuni ina ofisi JKN terminal one na ipo mbioni kufungua ofisi maeneo ya posta mjini. Tunakaribisha watu wanaoleta wateja kwa malipo ya commission.50/50 commission basis
0716411720
Karibuni sana