leh said:kama upo on windows seven, right click
computer alafu uchague manage.
*kwenye window mpya itakayofungua, chagua
disk management. right click on disk yako na
uchague SHRINK. *windows itachukua sekunde kadhaa kupiga
hesabu disk yako ina ukubwa gani na unaweza
kuchakachua kiasi gani.
*utaletewa yet another window ambayo itakuwa
na sehemu ya kuchagua unataka kuiba kiasi gani
(in Mbs) *piga next next za kutosha na utapata a new
unallocated disk
*format the new disk ili iweze kuonekana
kwenye windows and you are good to go kazi ya dakika tano, huhitaji any external
program, kaujuzi kidogo, na since unataka
kuweka Ubuntu nachukulia una uwezo so
sitaweka screenshots, ila ukikwama, nipo around
regards,
Nimefuata maelekezo yako mkuu nimefikia hatua hiiMkuu Mbona Unaweza Fanya Hivyo Bila Hiyo Software
Sijakuelewa Mkuu!! unataka Kupunguza Kutoka C au Unataka Kuiongeza C??
Mbona Easy?? maelezo
Yanaeleweka Labda Nikufafanulie tena!!
1 .. Right Click Ile Computer then Manage!!
2 .. kwenye Tab Itayofunguka Clicl Disk Management!! innakua Collumn
Ya Kwanza Huku!!
3.. Ikifunguka utaziona Disk Kwa Chin!! za Bluu It Means Ndo ambazo
zipo!! Ukiona kuna yenye rangi nyeus itakua haijawa Located so Itmeans
hapo inatakiwa Uilocate kwa ku right click then new volume!!!!
So kama zote ni za bluu bas hapo bado Huja creat another disk!!! So i
click hyo unayotaka kuipunguza then i right click!! Then shrink!! Hapo
itakubidi uchague kias unachotaka kupunguza!! Huwa kinakua kwa mb so
kama unataka kupunguza gb 65 manaake itaandikwa hivi 65000 mb hapo
utaclick continue itajicreate disk ambayo itakua na rangi Nyeusi!! Huwa
inaandikwa unhealth partition so utai click then then una Right Click,
New Volume Then Unaichagulia Herufi Na Jina!! continue!! ikishakua Ya
Blue It means Kule Imetokeaaaa
ahsante mkuu nimefanikiwa!Mungu akubariki!