mushiheriel
Member
- Sep 8, 2016
- 73
- 24
Nipo singida ni muhitimu wa kidato cha nne ,natafuta part time job kuanzia sasa hadi january hivi.
Naweza kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha ,ufaulu wangu ni division 4.26
Kna nanii zailollyyaan hata sijui nisemeje haya watakuja
Yeyote ,iwe legal pia inalipa vizuri coz natak February nianze chuo nduguKazi gani unataka?
Yes naweza ,pia ntashukuru sanaUtaweza kuwa secretary wangu?
Yeyote ,iwe legal pia inalipa vizuri coz natak February nianze chuo ndugu
Naweza kuongea english fasaha,pia nina ujuzi kidogo wa computer bwana three six teen!
!
Unaweza kufanya nini? Divisheni haifanyi kazi mkuu
Cna fani ndugu henry ,nimemaliza mwaka janaUna fan kwan
Kyawaaa fye ibilisi,nkwi kukaikyawaa see kuda mushii??
Kunu darisalamaa munamaaKyawaaa fye ibilisi,nkwi kukai
Acheni umachame humu waone vile tehtehteh...Kunu darisalamaa munamaa
Ayaaa mbe munamaaKunu darisalamaa munamaa
Powaa,tatzo pexa misseg ,wap upoAcheni umachame humu waone vile tehtehteh...
Njoo nkuajiri uwe unapeleka wanangu shule
Sawa , maringeni[emoji106] [emoji106]Hebu saidia kazi hapo nyumbani.
Mambo ya kazi waachie waliomaliza chuo