mercylilly
Member
- Mar 23, 2011
- 5
- 1
Mh, inasikitisha watu kuwa na mafundisho a ajabu, aliyewafundisha kwamba network business ni freemasons nae kiwango cha kumjua Mungu hakijapanda! as long as una uwezo wa kufanya utafiti kwenye net basi fanya utafiti wa network business ni nini. Hakuna kitu ambacho Shetani hajakiingilia, kuweni na maarifa, msibebwe kimzogazoga, network business ni Genuine na ndiyo iliyowafanya nchi zilizoendelea kuendelea. Angalia crieria za kuingia katika network businesses moja hadi nyingine, kwa mfano: kampuni iko katika biashara kwa muda gani, uwezo wako, na upliner wako kama atakuwa na msaada ili uweze kufanikiwa.
Stay blessed!:smow:
Stay blessed!:smow: