Part IX: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!


Mkuu lin mm nikiona mtt wa kike ananung'unika sipendi!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
akha, mie sio mmbea bana, hiyo shughuli kuna watu wanaiweza lakini mie aah... wee mwagika tu wala usewe na hofu

Weee sio mbea mbea ram afu usikae mbali leo jioni narudi!
 
Last edited by a moderator:
akha, mie sio mmbea bana, hiyo shughuli kuna watu wanaiweza lakini mie aah... wee mwagika tu wala usewe na hofu

Nimekipendaje!
 
Slim mm ungejua unavyoniacha hoi unapokatikakatika!! bac tu cna namna ni kuvumilia tu.Ila nisije kuta zimeoza tu.

Mkuu mm nakatikatika! wisu umetisha!
 
Last edited by a moderator:
ah slim5 umeanza kuzingua.utamu unakuja utamu unakata..huyo mlangoni atakuwa jamaa yake.
 
Mkuu mm nakatikatika! wisu umetisha!

Sana!!! halafu pale kwenye utamu! bac daah! big up mkuu.Mm nakusubiri mpaka umalizie tuko pamoja sikuachi ng'oo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…