Utabiri wangu naona unakaribia kutimia yaani hapo mlango unavo funguka anaingia yule mshikaji alo kukwida pale Mhimbili duh!! sipati picha mkuu Slim 5 chumba chenyewe ndo khiko kimoja ushahidi bado upo..Bado hata POP haija tolewa sarakasi zilisha anza.