Part IX: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

The teh teh teh...ngumu kumesa ngumu kutema aisee
 
Hujui uzur wa hii kitu mkuu halafu ya leo fupi sana we waona ndefu du!
 
alafu wewe slim huyo mtu aliyekuwa anagonga mlimfungulia wa nini?yani nilivyokuwa nasoma harakaharaka nikitegemea kufikia mwisho,haya mambo ya dada yake,sijui kufanya mazoezi ,sijui kupika na kula mi siyataki,embu ifupishe iishe wajameni,mbona wanitesa hivi na hii story
 
Hapo mwisho hapo kuna lugha gongana tusubiri lini tena mkuu tupate mautamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…