Part 2:msimpe ushirikiano demu huyu

Status
Not open for further replies.
Mbona hakukutaja? ila wewe tumboo una mambo ya ajabu!!!

Hahaaa mambo ya ajabu we unazan mi mwehu kuja apa kulalamika nmepokea pm nyingi sana kua uyo mhusika anataja ni mm na mwazo sikuelewa kinachoendelea walionifungua macho ni wengi tuy
 
Last edited by a moderator:
Wakwanza uyu

Mimba changa inakusumbua.na zinc alivyoikataa ndio umechanganyiwa zaidi
Hahahahahaaaaaa! AND YOU BELIEVED IT.!!!? Sasa Zinc anikatae na mimba yangu, (nashukuru mnanitabiria mema sitakuwa mgumbaaa!) Afu nimsafishe kwenye thread nina wazimuuuu? Nimuunge mkono asikubali mimba yangu! Mtu mzima hata utunzi ulipata F si bureee
 
Nilijua bado upo msikitini shosti, au talaweh iliisha na mwezi mtukufu?? Heheh

machale yalinicheza nikaona nipige chabo kipande hiki mweh sijajuta kufika eneo la tukio.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…