Parkinson's Law

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440

Parkinson's Law
Na: Kaliro X
24sept 2017

I bet mara nyingi unakutana na haka kahali, umepewa kazi ndogo tuu ya kawaida ambayo ungeweza kuimaliza ndani ya masaa kadhaa au hata ndan ya lisaa limoja.[emoji786]

Lakini chaajabu inakuchukua week au hata mwezi eti kwa sababu eti mteja amekuambia hana haraka nayo sana. Hauko pekeako katika hili..
Hii inatokea pia maranyingi pale unapokuwa na assignment umepewa na boss kazin, homework umepewa na Professor chuoni, unapopanga safari, au hata unapochagua mtoko wa siku nk

Perkinson's law inasema, kazi inajiongeza ili kujaza nafasi ya muda uliopo.

Mimi ni Editor wa filamu na graphics nikianza kufanya kazi nahakikisha;

1. [emoji404]Nimeelewa mteja wangu anahitaji nini hasa, kwa kuulza maswali na kujadiliana pale kwenye utata kabla sijaanza kazi.

2. Nahakikisha nimejipanga kwa kuandaa na kupangilia files zangu(matilio, picha, sauti, muziki nk)

3. [emoji419]Kujiwekea deadline mpya, itakayoniongoza na kuninyima nafasi ya kuzembea ili nimalize kazi kwa muda mfupi na kwa ufanisi ili nihamie kwenye kazi nyingine.

4. Napangilia nini kinaanza kitakachofuata na nitakachomaliza nacho na timeframe yake on each. Mfn. Ntakatakata footages zangu kwa saa moja, nitaingiza music&sound effects kwa nusu saa na mwisho nitamalzia na kufanya color correction&grading na kuexport final clip kwa nusu saa. Katikati ya kila hatua najipa muda wa dkk 3 - 10 za kupumzka, simple walk, pushups kdg etc nikirud narud nikiwa refreshed zaid.
Vipi wewe kwa upande wako, hii hali imewahi kukutokea? Unakabiliana na nayo vipi?

[emoji4]Stay creative!
By; Kaliro X - Film Director & Graphics Designer
0765961152
admin@gopomedia.com
 
Hii ni kweli kabisa kitu kidogo usipoangalia unachukua muda mrefu kukamilisha.
 
Ugonjwa pia huo unitwa Parkinson mtu anakuwa anatetemeka mikono anaweza beba glasi ya maji anatetemeka mikono hadi utaogopa ila wengi hawaangushi chini ila kimiminika ndani huwa kinaweza toka ndani ya glasi.
 
Ugonjwa pia huo unitwa Parkinson mtu anakuwa anatetemeka mikono anaweza beba glasi ya maji anatetemeka mikono hadi utaogopa ila wengi hawaangushi chini ila kimiminika ndani huwa kinaweza toka ndani ya glasi.
Never heard of that before. Ntafatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…