Parking za Kibo Complex (Tegeta) kuna vinara wa wizi

Na wale walinzi wanao ning’inia kwenye yale madungu kama ya kuchungia ndege shambani wanafanya kazi gani? Vinginevyo wao wanahusika na huo wizi
 
Hiyo ni sehemu ya starehe usiku Kama mchana umeambiwa park at your own risk! ukikaidi watu wanafanya yao alafu wanaenda kukesha kb au what's up, club 71 na watoto wazuri.
 
Hao ni wezi professional wamebenjua mlango wakachukua yao
 
Pole sana. Ila ulinzi na umakini uanze na wewe mwenyewe unayejua thamani ya mali unazoacha ndani ya gari.

Valuables hata siku moja usiache ndani ya gari, haijalishi walinzi wapo au la. Waachie gari walinde lakini sio vilivyomo ndani ya gari maana hata hivyo hawahusiki na vilivyomo ndani ya gari maana hujawakabidhi vilivyomo ndani umekabidhi gari. Ni muhimu kujua tofauti ya hiki kitu.

Laptop, phones, cash money, bank cards, IDs never leave on the car. Beba ndio maana laptop ina potable bag. Usione uvivu, beba nenda nayo restaurant au popote, your laptop must be with you. Hata iwe parking ya kanisani au msikitini, never trust a human being.
 
nimejifunza mkuu, nimekuelewa
 
Sahihi kabisa. Ukileta ubishoo hasa unapoingia mall utalia. Mtu anaenda mlimani City anaingia Sinema anaacha gari parking lot ndani kuna valuables kv Apple Mac Pro, wallet etc akilizwa atulie.
 
Pole sana mkuu, ila ndio tujue wafanyabiashara wengi hawajali wateja wao..na sijui sisi watanzania kwanini hatujui kugomea huduma, tujifunze nchi zilizoendelea..biashara yeyote ikipatikana na kashfa..wateja wanaisusia..na huo ndio unakua mwisho wake. Mi naanza leo..sitatumia hiyo parking wala biashara za hapo period. Kama unaunga mkono hoja piga like😀😀
 
Tatizo uliegesha gari Mkuu,hapo kibo amna bango la parking at your own risk?
 
Hiyo ni sehemu ya starehe usiku Kama mchana umeambiwa park at your own risk! ukikaidi watu wanafanya yao alafu wanaenda kukesha kb au what's up, club 71 na watoto wazuri.
Parking at your own risk haiondoi liabililty ya mmiliki wa premises hayo ni maneno tu kisheria huyo mwenye eneo anawajibika kwa kitu kinaitwa occupiers liability mzee kuijua sheria ni raha sana...hapo kesi mahakamani mwenye eneo anakulipa vizuri sema muda mwingi utapotea mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…