teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 317
- 214
hapana, nilipaki kwa kujua ni parking za hapo,nikaingia ndani kwajili ya kupata chakulauliwakabidhi gari
Msaki ni muhuni na mtoto wa mjini hatamuwezaInasikitisha Sana ,Peleka Malamiko kwa kumshitaki MSACKY.
Hapo kibo ni miaka yote Kuna wizi kwenye magari sio Jana Wala Leo nadhani toka wamefungua Hilo jengo miaka hiyo hapajawahi kuacha kuwa na wizi.Habarini wapendwa
Naandika hivi sio kwa kuchafua brand ya mtu ila wahusika wa parking za hapo kibo complex kuna jambo linajificha.
Nimeibiwa laptop na nyaraka kibao kwenye begi zikiwa ndani ya gari ambayo niliegesha pale, na kuingia kupata chakula.
Lakini nimeomba ushirikiano kutoka katika uongozi, tuangalie camera ili kupata ufumbuzi wa kupata vitu vyangu ila majibu yanakuja kuwa camera za kibo complex ni kwajili ya kuangalia mali za kibo complex sio mali za mteja.
Polisi wanasema kuwa pale kumeshakua na kesi nyingi za wizi na mhusika wa camera pale kibo complex hajawahi kutoa ushirikiano wowote.
Nimeshindwa kuelewa kuwa police wanamuogopa mhusika au kuna kitu kinajificha nyuma ya pazia???
NB. Gari haijavunjwa hata kioo, vitu vimeibwa na walinzi wanajibu jeuri.
Nimechanganyikiwa, sijui cha kufanya
asanteni
kuna haja ya kukuelewa kuhusu hili kiongozi,Roga tu hao mwizi lazima aadhibiwe kwa kila namna we leta udini tafuta fundi uone najua ntashambuliwa hapa ila nasema hivi mimi mbuzi wangu wanne tu nimepeleka kesi nnapopajua sasa hivi heshima na adabu mji mzima n.b sikuwa naamini mambo hayo lakini yakikukuta mbona utajua hujui
Habarini wapendwa
Naandika hivi sio kwa kuchafua brand ya mtu ila wahusika wa parking za hapo kibo complex kuna jambo linajificha.
Nimeibiwa laptop na nyaraka kibao kwenye begi zikiwa ndani ya gari ambayo niliegesha pale, na kuingia kupata chakula.
Lakini nimeomba ushirikiano kutoka katika uongozi, tuangalie camera ili kupata ufumbuzi wa kupata vitu vyangu ila majibu yanakuja kuwa camera za kibo complex ni kwajili ya kuangalia mali za kibo complex sio mali za mteja.
Polisi wanasema kuwa pale kumeshakua na kesi nyingi za wizi na mhusika wa camera pale kibo complex hajawahi kutoa ushirikiano wowote.
Nimeshindwa kuelewa kuwa police wanamuogopa mhusika au kuna kitu kinajificha nyuma ya pazia???
NB. Gari haijavunjwa hata kioo, vitu vimeibwa na walinzi wanajibu jeuri.
Nimechanganyikiwa, sijui cha kufanya
asanteni
Habarini wapendwa
Naandika hivi sio kwa kuchafua brand ya mtu ila wahusika wa parking za hapo kibo complex kuna jambo linajificha.
Nimeibiwa laptop na nyaraka kibao kwenye begi zikiwa ndani ya gari ambayo niliegesha pale, na kuingia kupata chakula.
Lakini nimeomba ushirikiano kutoka katika uongozi, tuangalie camera ili kupata ufumbuzi wa kupata vitu vyangu ila majibu yanakuja kuwa camera za kibo complex ni kwajili ya kuangalia mali za kibo complex sio mali za mteja.
Polisi wanasema kuwa pale kumeshakua na kesi nyingi za wizi na mhusika wa camera pale kibo complex hajawahi kutoa ushirikiano wowote.
Nimeshindwa kuelewa kuwa police wanamuogopa mhusika au kuna kitu kinajificha nyuma ya pazia???
NB. Gari haijavunjwa hata kioo, vitu vimeibwa na walinzi wanajibu jeuri.
Nimechanganyikiwa, sijui cha kufanya
asanteni
Eneo likishaitwa jina la kichaga kama kibo unategemea niniHabarini wapendwa

Waavunja ? Kama hawavunji inakuaje au wanatumia uchawiHapo kibo ni miaka yote Kuna wizi kwenye magari sio Jana Wala Leo nadhani toka wamefungua Hilo jengo miaka hiyo hapajawahi kuacha kuwa na wizi.
It seems Kuna syndicate inayohusika ikishirikiana na walinzi wa hapo sababu watu no wengi mno ambao wamepata majanga Kama yako toka miaka hiyo palivyofunguliwa .
Sijawahi kupaki gari na wala kutamani kuingia hapo sababu ya huo wizi.
Msaki ni MUHA wa Ujiji yule?Msaki ni muhuni na mtoto wa mjini hatamuweza