mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Asante, nini ushauri wakoPole mkuu, gari saa nyingine mateso
Tuseme hamuoni au jeuri?
Au hamna magari?
GoodSio wote tunamagari ndugu yangu.
Watakuja kutoa maoni wenye nayo.
Ila kama umeshaenda Hadi ofisini na hawajakusaidia, ungeomba kuonana na Mkuu wa ofisi na sio mhasibu Tena.