Hawa jamaa nilishawatolea uvivu siku moja nilipark gar nikakanyaga ule mstari wa njano eneo la kupaki wakaja funga lile chuma lao kwenye tairi eti wanataka elfu 50 sababu nimekanyaga ule mstari wa njano..Na ni asbuhi saa 3 wazembe kweli hawa jamaa na wengi wao ni wanyanyua vyuma wakakutana na mnyanyua vyuma wa zamani ilitokea patashika haswa nikabeba na lichuma lao nimelitupa uani tu...Wazembe mno na wanapenda kujaribu mtu sana hii ilinikuta nikiwa Arusha.