Prefab zipo...ila aina hiyo ya ujenzi bado imekuwa ngumu kukubalika kwa sababu inaaminika ni ghali (expensive) , sio imara na zina nafasi finyu. Hii ni imani ya consumers walengwa , sababu kwa bahati mbaya wengi wetu tumeaminishwa ujenzi maridhawa ni lazima block la cement litumiwe.
Kwa hapa Tanzania vipo viwanda na wapo fabricators wanaotengeneza hizo prefabs, naomba kutowataja hapa maana sina ridhaa zao kuwatangaza, but ukiwatafuta tafuta utawapata, kwa dar es salaam wapo mikocheni, wengine chang'ombe wengine tegeta.