Wakati wimbi la mashabiki wa PSG tukiongezea mitaani miaka hii ya karibuni, moderators tunaomba mfanye UPDATES kwenye uzi wetu huu pendwa. Tukitambua majukumu kadhaa mliyonayo, hapa chini tumewarahishia baadhi ya sehemu za ku-update
Nilimshauri Mbappe abaki PSG akanijibu kwa kejeli na nyodo eti anaenda timu ya kuchukua Uefa sasa kilichomkuta anakijua mwenyewe wakati huo PSG tunapeta tu