Msolve ishu ya penati takers kwanza.
Hii timu wakitaka wasitake, Mbappe ndio Best player wao, Neymar na Messi wanahitajika wakiandae na MLS.
Msolve ishu ya penati takers kwanza.
Bahati mbaya tu. Kukosa kupoMsolve ishu ya penati takers kwanza.
Hatimae leo ndo tunaenda kuendelea na mapambano ya kukamilisha ndoto yetu ya kuona jiji la Paris likirindima kwa Shangwe za furaha baada ya kutwaa UCL kwa mara yetu ya kwanza![]()
Mon en l'aimee et ParisView attachment 2119862
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app





psg kuchukua uefa ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano 


Wajitutumue, zari linaweza kuwadondokeapsg kuchukua uefa ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
![]()
Na ilo Zari ni mwaka huu kama vipi DJ atugongee Mwaka wangu ya Teacher Harmonize tukuonesheWajitutumue, zari linaweza kuwadondokea

Ngoja tuone..Na ilo Zari ni mwaka huu kama vipi DJ atugongee Mwaka wangu ya Teacher Harmonize tukuoneshe![]()
Bila mbape no PSGHii timu wakitaka wasitake, Mbappe ndio Best player wao, Neymar na Messi wanahitajika wakiandae na MLS.
Wameisha haoBila mbape no PSG
na ndo anabakia hapo Bernabeu, wenake atawasindikiza stendi. Pochetino nae kashachoka maisha ya ufaransa anataka kurudi uingerezaBila mbape no PSG
Hahahaa utani huu.Wanaomsema messi sasa wanaona aibu, anawasaidia sana psg
Vipi jiji la Paris bado linarindima kwa Shangwe za furahaHatimae leo ndo tunaenda kuendelea na mapambano ya kukamilisha ndoto yetu ya kuona jiji la Paris likirindima kwa Shangwe za furaha baada ya kutwaa UCL kwa mara yetu ya kwanza![]()
Mon en l'aimee et ParisView attachment 2119862
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app



Only football does exceptional things aliwahi kusema louis van gaalVipi jiji la Paris bado linarindima kwa Shangwe za furaha
Nyie yule dada wa Mirinda nyeusi ndio aliwatia gundu, yaani sasa hivi kila mechi za maana mtakua mnakalia chupa tu.
For sure jana neymar na maquirnhos wametuuza kabisa mambo ya hovyo wamefanyaNeymar kazi ubishoo tu hana msaada wowote Ktk timu.
Kama man city Tu hamna tofautiPsg timu ya warembo tu ...