GE2025 Paresso: Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele

GE2025 Paresso: Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
"Dkt. Samia Suluhu Hassan ni uthibisho kuwa wanawake wakipewa nafasi taifa limesonga mbele" Paresso

Ameongeza akisema "miaka minne iliyopita Dkt. Samia Suluhu Hassan si kwamba tumemsikia kwa maneno lakini pia tumemshuhidia kwa vitendo vya kimaendeleo" Amesema Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso

Paresso ameyasema hayo leo Oktoba 4, mbele ya Samia alipokuwa akifanya kampeni Babati, Mkoani Manyara.

 
Back
Top Bottom