Nisaidieni jamani kwa wenye kujua jinsi ya kuseti PARENTAL CONTROL hasa kwenye king'amuzi cha Star Times, hii ni kwaajili ya kudhibiti uangaliaji wa TV kwa watoto nyumbani
teh na yale matamthilia yao ya kivenezuela au mexico sehemu ya maloveee wanaweka mwanzo mwisho..... watoto wa dotcom kulea sasa hivi kazi kweli kweli
kuna jinsi ya kuset ngoja nikutumie