Doubleclick
JF-Expert Member
- Apr 26, 2024
- 248
- 110
Daaah
Mwaka huu miti mingi imepukutisha, nahisi ni sababu ya mvua, ninao mti mmoja huuni uzao wake wa pili umebakiza matunda 22 tu! Mara ya kwanza ulipukutisha yote.Bado !nimekaaa Tamaa yatakayobaki ndo hayhayo