BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Ni ZWAZWA tu linaweza kujifungia maskani na mdoli eti linagegeda. Mwenye akili timamu na anayejitambua kamwe hawezi kufanya huu upuuzi Mkuu.
Hahahaha hilo litakuwa kimbilio la madomo zege, ila madomo zege huwa yananufaisha sana wanawake wapiga mizinga maana yenyewe huwa pesa ndio kinga na nguzo ya mapenzi kwao