K Kajeba JF-Expert Member Joined Oct 15, 2020 Posts 1,126 Reaction score 2,538 May 1, 2021 #1 leo nimekosa kipindi mliokifuatilia mnaweza kutujuza Yaliyojiri
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,113 Reaction score 3,471 May 3, 2021 #2 Ata endesha iko kipind yeye akiwa kama nan????......na mzee baba ameshaondoka.
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 17,987 Reaction score 30,954 May 3, 2021 #3 Kajeba said: leo nimekosa kipindi mliokifuatilia mnaweza kutujuza YaliyojiriView attachment 1770530 Click to expand... Dr Godwin Mollel naibu waziri wa afya ni bosi wake🤣
Kajeba said: leo nimekosa kipindi mliokifuatilia mnaweza kutujuza YaliyojiriView attachment 1770530 Click to expand... Dr Godwin Mollel naibu waziri wa afya ni bosi wake🤣
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,401 Reaction score 100,592 May 3, 2021 #4 Kajeba said: leo nimekosa kipindi mliokifuatilia mnaweza kutujuza YaliyojiriView attachment 1770530 Click to expand... Waliahirisha kwa hasira baada ya kuamuliwa na MAMA
Kajeba said: leo nimekosa kipindi mliokifuatilia mnaweza kutujuza YaliyojiriView attachment 1770530 Click to expand... Waliahirisha kwa hasira baada ya kuamuliwa na MAMA
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,683 Reaction score 3,572 May 3, 2021 #5 Kajeba said: leo nimekosa kipindi mliokifuatilia mnaweza kutujuza YaliyojiriView attachment 1770530 Click to expand... Alikuwa ana bore sana huyu jamaa. Anawapigia simu usiku watendaji wa Serikali eti wajibu maswali.
Kajeba said: leo nimekosa kipindi mliokifuatilia mnaweza kutujuza YaliyojiriView attachment 1770530 Click to expand... Alikuwa ana bore sana huyu jamaa. Anawapigia simu usiku watendaji wa Serikali eti wajibu maswali.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,771 Reaction score 29,287 May 3, 2021 #6 Mawembasa1979 said: Alikuwa ana bore sana huyu jamaa. Anawapigia simu usiku watendaji wa Serikali eti wajibu maswali. Click to expand... mambo ya hovyo kabisa
Mawembasa1979 said: Alikuwa ana bore sana huyu jamaa. Anawapigia simu usiku watendaji wa Serikali eti wajibu maswali. Click to expand... mambo ya hovyo kabisa