Kutoka na misemo mingi ambayo huchafua lugha kwa kutumia misemo hii mimim naona si vema kutumika na kufindishwa mashuleni kwa watoto hutafsiri misemo hii kwa matendo na kusimiliana na kuyafanya kuenea kwa watoto wengi ambayo hupotosha maadili.
Mfano.
Papitapo msumari hapakosi tundu
mtaka cha uvungu ainame!
Ukitaka nyama ya dafu uchokolewe..n.k
mi mtazamo wangu si vema ikatumika mashuleni hupotosha jamii na haina faida kwa watoto.
Kwa keli kila msemo una sehemu Yake ya kutumika. Hatuwezi hata kidogo kuizuia baadhi ya misemo au hata mithali zisitumike na watoto wakti huo huo watu wazima wanaitumia.
naona ni bora iachwe itumike kwa wote bali cha msingi ni kuwafundisha watoto wetu tarbia njema
Sasa kama mtaani inatumika na ndiko kuna shule ya kufa mtu, basi bora tu uko shule iendelee kufundishwa kwa sababu uko ndio wanafunzi watafundishwa jinsi ya kuitafakari kwa usahihi zaidi.