Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Sawa, ni vyema akaangalia sehemu atakapopata muda mwingi wa kucheza, na maslahi pia. Hivi kumbe kipengele cha kuvunja mkataba kwa kuilipa klabu huwa kipo?... huku kipengele cha mkataba kikimtaka alipe mshahara wa miezi mitatu tu ili avunje mkataba wake, t
Vipi Peter Banda ?Nashangaa Simba wameamua kuua kipaji cha Sako na Phiri. Mimi ni Simba, lakini kutopangwa kwa hawa jamaa kunaniumiza sana.
Naye pia mkuu. Vijana walikuwa wanakuja moto, sasa nyota zao zinazimishwa ghafla.Vipi Peter Banda ?
Na yule dogo WA Malawi... Hapangwi kabisa.Nashangaa Simba wameamua kuua kipaji cha Sako na Phiri. Mimi ni Simba, lakini kutopangwa kwa hawa jamaa kunaniumiza sana.
Huyu aende hata SA ,super sports au AmazuluNa yule dogo WA Malawi... Hapangwi kabisa.
Kipo ndioSawa, ni vyema akaangalia sehemu atakapopata muda mwingi wa kucheza, na maslahi pia. Hivi kumbe kipengele cha kuvunja mkataba kwa kuilipa klabu huwa kipo?