Little brain JF-Expert Member Joined Oct 31, 2020 Posts 4,395 Reaction score 6,556 Mar 13, 2022 #21 Mnaturuhusu tufungue thread ya mume wenu mzee wa kutetema?
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,389 Reaction score 22,946 Mar 13, 2022 #22 Simba wamrudishe niqson harafu wauzwe Boko na kagere hata kwa mkopo pahala waende na ile 9 assec isajiliwe Simba tufunge kazi
Simba wamrudishe niqson harafu wauzwe Boko na kagere hata kwa mkopo pahala waende na ile 9 assec isajiliwe Simba tufunge kazi
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,127 Reaction score 138,150 Mar 13, 2022 #23 usiponyunyiza utanyunyizwa
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,127 Reaction score 138,150 Mar 13, 2022 #24 kina kirefu said: Simba wamrudishe niqson harafu wauzwe Boko na kagere hata kwa mkopo pahala waende na ile 9 assec isajiliwe Simba tufunge kazi Click to expand... Kanoute ni hatari sana,waachane na deal ya Phiri wamchukue huyo na Adebayor mbadala wa Kagere na Mugalu
kina kirefu said: Simba wamrudishe niqson harafu wauzwe Boko na kagere hata kwa mkopo pahala waende na ile 9 assec isajiliwe Simba tufunge kazi Click to expand... Kanoute ni hatari sana,waachane na deal ya Phiri wamchukue huyo na Adebayor mbadala wa Kagere na Mugalu
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,389 Reaction score 22,946 Mar 13, 2022 #25 OKW BOBAN SUNZU said: Kanoute ni hatari sana,waachane na deal ya Phiri wamchukue huyo na Adebayor mbadala wa Kagere na Mugalu Click to expand... Mtu anayegonga vichwa namuheshimu Sana Boko mipira Kama ile haruki anainama cjui hua anajiona kichwachake Kiko wazi ....
OKW BOBAN SUNZU said: Kanoute ni hatari sana,waachane na deal ya Phiri wamchukue huyo na Adebayor mbadala wa Kagere na Mugalu Click to expand... Mtu anayegonga vichwa namuheshimu Sana Boko mipira Kama ile haruki anainama cjui hua anajiona kichwachake Kiko wazi ....
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,442 Reaction score 108,485 Mar 13, 2022 #26 Yuda Iskariot said: Mnaturuhusu tufungue thread ya mume wenu mzee wa kutetema? Click to expand... Mume tena!? Si kaishatolewa posa huyu, mahari ya cow 2 ndio kishika uchumba, watu wakimalizia wanachukua mke wao
Yuda Iskariot said: Mnaturuhusu tufungue thread ya mume wenu mzee wa kutetema? Click to expand... Mume tena!? Si kaishatolewa posa huyu, mahari ya cow 2 ndio kishika uchumba, watu wakimalizia wanachukua mke wao
Mzee Wa Kazi Chafu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2022 Posts 2,359 Reaction score 5,151 Mar 13, 2022 #27 Thread Ya Kibu D Iko Wapi?