C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,097 Reaction score 1,384 Mar 13, 2022 #1 Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania
Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Mar 13, 2022 #2 Thread zingine bana. Kwahyo baada ya goli umekimbilia kuja kuanzisha thread
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,009 Reaction score 35,018 Mar 13, 2022 #3 Hahaha Safi
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,661 Reaction score 12,014 Mar 13, 2022 #4 Kiumbe hatari sana kwenye medani za kisoka huyu ni Mbape wa Africa.
allypipi JF-Expert Member Joined May 10, 2020 Posts 3,323 Reaction score 10,889 Mar 13, 2022 #5 Thread zingine zina jaza jamvi tu kuna thread ya jukwaa la simba tu kuna thread ya mechi ya simba ya leo kwanini uje uanzishe uzi mwingine tena kama sio kukosa kazi.
Thread zingine zina jaza jamvi tu kuna thread ya jukwaa la simba tu kuna thread ya mechi ya simba ya leo kwanini uje uanzishe uzi mwingine tena kama sio kukosa kazi.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Mar 13, 2022 #6 Fundi wa mpira
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,116 Reaction score 1,249,272 Mar 13, 2022 #7 duh aiseee
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 13, 2022 #8 Vradmir Sakho. ngoja wajuba waje kukupinga.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,246 Reaction score 24,042 Mar 13, 2022 #9 Lile goli linaweza kufanya ukraine apate msamaha kwa putin
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,301 Reaction score 10,073 Mar 13, 2022 #10 Chura msiwe wakali..... Ni utaratibu wa kawaida tu.
park don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2017 Posts 4,950 Reaction score 7,090 Mar 13, 2022 #11 Mzee wa kukusanya kijiji
I Interlacustrine E JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 3,396 Reaction score 6,023 Mar 13, 2022 #12 chamakh said: Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania Click to expand... MAKOLO bhana tangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo Trump hakukosea kuwa sisi ni shit hole countries suvivors
chamakh said: Hii ni kutambua uwezo mkubwa wa huyu Mchezaji ambaye hakuna wa kufanana naye katika wote wanaocheza Ligi ya Tanzania Click to expand... MAKOLO bhana tangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo Trump hakukosea kuwa sisi ni shit hole countries suvivors
78Kuku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2021 Posts 561 Reaction score 756 Mar 13, 2022 #13 Sakhoooo mnyama undisputed
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,408 Reaction score 185,020 Mar 13, 2022 #14 Ngoja tuone...
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Mar 13, 2022 #15 SteveMollel said: Thread zingine bana. Kwahyo baada ya goli umekimbilia kuja kuanzisha thread Click to expand... Bila shaka wewe ni Utopolo.
SteveMollel said: Thread zingine bana. Kwahyo baada ya goli umekimbilia kuja kuanzisha thread Click to expand... Bila shaka wewe ni Utopolo.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Mar 13, 2022 #16 Dam55 said: Kiumbe hatari sana kwenye medani za kisoka huyu ni Mbape wa Africa. Click to expand... Kweli kabisa aisee
Dam55 said: Kiumbe hatari sana kwenye medani za kisoka huyu ni Mbape wa Africa. Click to expand... Kweli kabisa aisee
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Mar 13, 2022 #17 rodrick alexander said: Lile goli linaweza kufanya ukraine apate msamaha kwa putin Click to expand... Kweli kabisa
rodrick alexander said: Lile goli linaweza kufanya ukraine apate msamaha kwa putin Click to expand... Kweli kabisa
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,018 Mar 13, 2022 #18 Interlacustrine E said: MAKOLO bhana tangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo Trump hakukosea kuwa sisi ni shit hole countries suvivors Click to expand... vipi lile goli la bicycle kick dhidi ya asec mimosas pale taifa kisinda mkubwa wewe
Interlacustrine E said: MAKOLO bhana tangu Zanzibar kwenye kombe la kuku hadi leo hii imepita miezi mingapi hajaonekana na huo uwezo Trump hakukosea kuwa sisi ni shit hole countries suvivors Click to expand... vipi lile goli la bicycle kick dhidi ya asec mimosas pale taifa kisinda mkubwa wewe
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Mar 13, 2022 #19 Fall Army Worm said: Bila shaka wewe ni Utopolo. Click to expand... Hapana. Ni kolo.
Libadi Senior Member Joined Apr 13, 2018 Posts 149 Reaction score 199 Mar 13, 2022 #20 Mzee wa kunyunyizaa