Papaa

wakivalia kifuani ishu,wakivalia chini ya ****** pia ishu! sasa wataanza kuvalia kwenye magoti, alafu mwishoe kwenye vigimbi jamani, hahaha
 
Kuna jamaa mmoja wa A-Town naye huwa anavaa hivi hivi!!!
Yaani kituko balaa!!!
 
huyu jamaa ni dalali wa magari pale kidongo chekundu gerezani na ni MUHA toka kigoma
 
Mokili ya Mzambe, nakuya sasa kumwinu ile mutu ya watu, ile mutu mkulu mkulu kabisa. Ile mutu ya pesa mingi.
 
sasa hapo ana tofauti gani na mjamwepesi,ukishikwa na kuhara mpaka suruali ishuke ushachafuka tayari.
 
Anaitwa Paaa Sylivester Mpole, ni dalali wa magari anapatikana buguruni, he happened to be my student last year (Evening class), alikuwa akiingia darasani lazima watu wacheke kama dakika tano hvi ndo utulivu urejee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…