masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,900 Reaction score 15,127 Jan 10, 2016 #2 Kweli Mbuyuni hapo, maana na vunguu vilee!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 10, 2016 Thread starter #3 masopakyindi said: Kweli Mbuyuni hapo, maana na vunguu vilee! Click to expand... kwa wasafiri wa mbeya wanapajua vizuri kwa nyama choma
masopakyindi said: Kweli Mbuyuni hapo, maana na vunguu vilee! Click to expand... kwa wasafiri wa mbeya wanapajua vizuri kwa nyama choma
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 10, 2016 Thread starter #4 ajira pia unaibembeleza hapo Horse]] haashoe Arch said: Sometimes stress za maisha zinatufanya tuonekane wehu Click to expand...
ajira pia unaibembeleza hapo Horse]] haashoe Arch said: Sometimes stress za maisha zinatufanya tuonekane wehu Click to expand...
Kiwa JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,102 Reaction score 910 Jan 10, 2016 #5 Kaacha mke nyumbani kabisa?!
A asasa Senior Member Joined Oct 9, 2015 Posts 189 Reaction score 262 Jan 10, 2016 #6 Amavubi said: kwa wasafiri wa mbeya wanapajua vizuri kwa nyama choma Click to expand... Nyama chomaa. ......... Mate yananidondoka mkuu Amavubi
Amavubi said: kwa wasafiri wa mbeya wanapajua vizuri kwa nyama choma Click to expand... Nyama chomaa. ......... Mate yananidondoka mkuu Amavubi
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 10, 2016 Thread starter #7 Kiwa said: Kaacha mke nyumbani kabisa?! Click to expand... akija naye hapo kazi haifanyiki na watoto hawatruka kamba nyumbani
Kiwa said: Kaacha mke nyumbani kabisa?! Click to expand... akija naye hapo kazi haifanyiki na watoto hawatruka kamba nyumbani
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,734 Jan 10, 2016 #8 Kiwa said: Kaacha mke nyumbani kabisa?! Click to expand... Na watoto pia nini mke????
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,734 Reaction score 128,240 Jan 10, 2016 #9 Amavubi said: View attachment 315927 Click to expand... Sango Nini Makambo! Ukitaka Sasa Ufurahi Zaidi Na Huo Mvao Upigwe Hapo Wimbo Wa Kanda Bongoman Ule Wa " INDE MONIE ". Balaa!
Amavubi said: View attachment 315927 Click to expand... Sango Nini Makambo! Ukitaka Sasa Ufurahi Zaidi Na Huo Mvao Upigwe Hapo Wimbo Wa Kanda Bongoman Ule Wa " INDE MONIE ". Balaa!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 10, 2016 Thread starter #10 asasa said: Nyama chomaa. ......... Mate yananidondoka mkuu Amavubi Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,759 Reaction score 197,412 Jan 10, 2016 #11 Wanaonekana vikatuni mbele ya walionazo...
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 Jan 10, 2016 #12 Kwa uvaaji huo kweli anaweza kukimbiza mwizi meeeen...?
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jan 10, 2016 #13 Naona uvaaji huo unazidi kuenea, nimeona kuna muuza kahawa kkoo naye kapiga hiyo style.
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Jan 10, 2016 #14 Kiwa said: Kaacha mke nyumbani kabisa?! Click to expand... Na watoto wanamwita baba
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Jan 11, 2016 #15 Kwa alipoweka suruali nashindwa amini kama ameshona shati ndefu ya kawaida maana haina haja ya kufika kiunoni.
Kwa alipoweka suruali nashindwa amini kama ameshona shati ndefu ya kawaida maana haina haja ya kufika kiunoni.