Papaa Msofe, Alex Massawe wahukumiwa

Huyu msofe ndio alikuwa anatajwa kila wimbo ama?? Papaa msofe
 
Wenye utaalamu wanifundishe kitu, damu ya mmewe ina uhusiano gani na kushinda kesi hiyo? Je aliamua kuimwaga ili ashinde kesi? Au aliamua kuimwaga ili akishinda kesi yeye amilikishwe nyumba hiyo? Hapo bolded red msaada tafadhali.
Ilimwagika ktk mapambano ya kutetea hiyo nyumba!
 

Wachunguze na kifo cha marehemu..maana kuna utata...kwa nn walikataa kumrudishia hati yake ya nyumba?halafu kikatokea kifo hiko cha utata.
 
Circumstantial evidence is overwhelming concerning Tully's murderer. Huyo papaa afunguliwe mashtaka ya mauaji haraka Sana! JPM uko serious kweli?!
 
Jamani huyo Makongoro Nyerere ni yule alikua bondia zamani? Mtoto wa Chifu Makongoro wa Ikizu Bunda? Kaka yake Bi Mwenda wa Bongo filamu? Huwa anaishi mitaa ya Kinondoni? Nadhani jibu ni ndio.
Then jamaa alistahili maana ni kilaza, mwaka 2003 aliwahi kunizingua boya huyo....
 
Hyo mia tatu(300) analamba mjane na hao ngamia wanailipa mahakama 36m kama ada ya kuendesha kesi yaani ingekuwa amri yangu hao jamaa wamekatisha uhai wa wengi kwa utajiri wao wa kihanatha ningewachinja kama kuku

Da ingekua utawala wa wale jamaa wa ISS mhh sijui ingekuaje , maana dhuluma kwa wajane na mayatima hahah
 
Hii kesi imeishia wapi? Unless bado anakabiliwa na Mashtaka!
 
wote ni wachaga???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…