uzungu wa unga mchezo!hathubutu hata sekunde!anapiga inshu za inurance na tender za kizushizushi!.....ni chizi mziki tu siyo kama ana mpunga mrefu kama jina lake linavyopaishwa

Ndugu yangu Muuza Sura kashamaliza kwamba jamaa ni wa fooo kabisa yani Maseke teee....Mzigo empty kabisa wa baridi kabisa....Angekua mzungu wa unga lazima angekua na mzigo mrefu