Moshi mwekundu ulionekana katika jumba la Catholic Church Movement.Tukio hilo lilihitimisha kupatikana kwa papa mpya ajulikanae kwa jina la Cardinal Mwanya kutoka katika Jamhuri Kidomoghasia ya Wadanganyika.Papa huyo atajulikana kwa jina la papa Magego.