Papa Francis: There are limits to free expression

Status
Not open for further replies.
Wacha uwongo toka lini Qur'an inapinga uwepo wa Mungu.

La Ilah Ila Allah

Maana yake Hakuna Mungu Ila Allah, ndio maana Utaona Wauwaji wote wa Kiislam hata kama akiwa anachinja mtu anasema Allah Akbar
 
Kule peponi dogo pombe za kule sio za kikristo zinazo poteza watu akili, sex ya kule sio inatoa uchafu. Toka lini peponi ikawa na kahaba? Kwani hio pepo ya kikristo.

Mwanzo Yehova alisema zaeni mkaijaze dunia, kumbe sasa ngono imegeuzwa kuwa kiburudisho?
Lakini pia kama unapewa Bikra wa kukuburudisha, ana tofauti gani na hawa makahaba wanaojiuza?
 
dogo hicho ni kisa we nenda kwenye bahari time linatua jua, tazama bahari kama hujaliona linapotea. yani unaongea kama kichaa asiye fahamu. Kweli vipi mnamuita Yesu shoga na kichaa afu mnasema ni Mungu, hivi walio andika bibilia wlaikuwa vichaa kama wasomaji wa bibilia pia?
 
Kule peponi dogo pombe za kule sio za kikristo zinazo poteza watu akili, sex ya kule sio inatoa uchafu. Toka lini peponi ikawa na kahaba? Kwani hio pepo ya kikristo.

Nyie watu mmewekwa kwenye giza la ajabu, hivi Tangu lini mbinguni mahala pa Takatifu pakageuka kuwa sehemu ya kufana Ngono?, Lengo la ngono ni kuzaana hapa duniani, inakuwaje tena Mfanye ngono mbinguni badala ya kuishi kama watakatifu?

Wapi kwenye Quran panasema pombe mnazodanganyishiwa hazileweshi?
 
dogo hicho ni kisa we nenda kwenye bahari time linatua jua, tazama bahari kama hujaliona linapotea. yani unaongea kama kichaa asiye fahamu.

Wapi kwenye hiyo verse kuna neno Bahari, au unaanza kutumia akili ya kibinadamu kutafuta maana? Hadith Yenyewe inasema Mohammad alisema kuwa jua linazama kwenye tope
 
La Ilah Ila Allah

Maana yake Hakuna Mungu Ila Allah, ndio maana Utaona Wauwaji wote wa Kiislam hata kama akiwa anachinja mtu anasema Allah Akbar
Sometimes wakristo mnajitoa akili, wakati Qur'an inamuita Mungu ndio Allah, nyie mnasema Allah si Mungu. Sa mbona we unataka sisi tumkubali Yehova ndio Mungu hamuoni kuwa mnakuja na reson za kijinga. Sa wasio jua mana ya nena la Yehova ndio Mungu watakubali yeye ni Mungu? Kweli wakristo ni vichaa.
 
Kakende; Sa we unataka kuipinga Qur'an inacho sema, kwa sababu ipi leta dalili zako? Hebu nipe dalili kila kinacho semwa Qur'an basi hakita kuja tokea.

Hapa inasema kila kiumbe kimeumbwa kwa Pair, unakubali kuwa kila mnyama kaumbwa Dume na Jike?

Sura 51:49
And of every thing We have created pairs: That ye may receive instruction.
 

Sisi tunamkataa Allah kwa sababu yeye kasema hakuna Mungu isipokuwa Yeye, kila mkipiga Azana ni lazima mseme "Hakuna Mungu isipokuwa Allah, pia lazima mseme Allah ni Mkubwa

Pia Tunamkana Yesu wa kwenye Quran kwa sababu ukweli kuhusu kuzaliwa kwake kumepindishwa, Pamoja na Umaalufu wa Yesu lakini kwenye Quran hakuna alichofundisha

Pia Quran inasema Wayahudi adui wa waislam wakati humohumo kuna Manabii wa Kiyahudi wametajwa, yaani inajipinga yenyewe
 
Mwanzo Yehova alisema zaeni mkaijaze dunia, kumbe sasa ngono imegeuzwa kuwa kiburudisho?
Lakini pia kama unapewa Bikra wa kukuburudisha, ana tofauti gani na hawa makahaba wanaojiuza?
Mzaane wapi duniani au peponi? Yani sijui sa zingine huwa mnakuwa hamna akili.
 
Kakende; Sa we unataka kuipinga Qur'an inacho sema, kwa sababu ipi leta dalili zako? Hebu nipe dalili kila kinacho semwa Qur'an basi hakita kuja tokea.

Hapa naendelea KUIPINGA QURAN

Mbona Kuna wazungu wamekwenda hadi Mwezini?, tena waliokwenda hawaijui hata Quran, ni Makafir

Sura 55:33

O company of jinn and mankind, if you are able to pass beyond the regions of the heavens and the earth, then pass. You will not pass except by authority [from Allah ].
 
Mzaane wapi duniani au peponi? Yani sijui sa zingine huwa mnakuwa hamna akili.

Wewe mwenye kudanganywa kuwa mbinguni mtaanza kuvuana Chupi kwa kujiburudisha huku mkinywa pombe ndio mna akili?

Pole sana, mlidanganywa, Mbinguni ni mahala patakatifu, tutaishi milele, kule hakuna njaa, hakuna ngono, ni kumtukuza Mungu tu
 
Wapi kwenye hiyo verse kuna neno Bahari, au unaanza kutumia akili ya kibinadamu kutafuta maana? Hadith Yenyewe inasema Mohammad alisema kuwa jua linazama kwenye tope
dogo Qur'an inamuongelea jamaa pale anaitwa Dhul Qarnayn. Yeye ndio alikuwa ana tazama chemchem ya matope time pale Jua linazama yani lina reflex pale, sio Mtume Muhammad.Yuel Dhul Qarnayn yeye hakuw analitazama jua kwa juu time ile, kuna wakati mnadakia kitu hamjui kisa kinaongelea nini. Na mimi nimekupa mfano wa kutazama bahari wakati jua lina zama si utaliona linazama ndani ya bahari au uwongo, sijasema Qur'an inasema vile ni mimi ndio nimekupa mfano kama ilivyo sema Qur'an kuhusu kisa cha Dhul Qarnayn.
 
Hapa inasema kila kiumbe kimeumbwa kwa Pair, unakubali kuwa kila mnyama kaumbwa Dume na Jike?

Sura 51:49
And of every thing We have created pairs: That ye may receive instruction.
Yeap we niambie kuna mnyama kaubwa bila ya kuwa jike na dume.
 

ha ha ha ha ..... hakyanani siku nikijikuta ndugu yangu wa karibu...(licha ya mi mwenyewe) ana uhusiano na hii dini...ntazimia kwa presha....

hebu angalia huu utumbo uloandikwa, nimebaki kucheka tu..maana we sio hata wa kuelimishwa...huna hata chembe ya akili angalau kumpa mtu moyo wa kukuelimisha..
kalagabaho.... acheni tu achorwe kwenye vikatuni..nadhani waliomchora waligundua nilichokiona hapa.
 
Tatizo hujui mana yake si kila kitu binadam anafanya kinaenda kwa uwezo wake, ni Mungu ndio anajalie kiwe vile. Dogo ungemuliza Amstrong alipo rudi mbona akawa muislam, na wengi wakisha toka huko wanakuwa waislam au we hujui hayo.
 

Soma Hiyo HADITH, inatoa evidence kuwa Jua linazama kwenye tope, maana siku hizi mmeanza kuzikana

Sunan Abu Dawud 3991-Abu Dharr said: I was sitting behind the Apostle of Allah who was riding a donkey while the sun was setting. He asked: Do you know where this sets? I replied: Allah and his Apostle know best. He said: It sets in a spring of warm water.
 
Tatizo hujui mana yake si kila kitu binadma anafanya kinaenda kw auwezo wake ni Mungu ndio anajalie kiwe vile. Dodo ungemuliza Amstrong alipo rudi mbona akawa muislam na wengi wakisha toka huko wanakuwa waislam au we hujui hayo.

Hahahaha, kwa propaganda mko sawa kabisa

Hapa mechanism ya kuruka kwa ndege kulimchanganya Mohammed

Sura 16:79
Je! Hawawaoni ndege walivyo wat'iifu katika anga la mbingu? Hapana mwenye kuwashika isipo kuwa Mwenyezi Mungu. Hakika katika haya zipo ishara kwa watu wanao amini.
 
Sa unaipinga Bibilia yako inasema Yesu ni shoga na kichaa , sa we bibilia ipi unayo soma.
 
Leta Qur'an dogo sio hadith, Qur'an inapinga hadith sababu ni uwongo mtupu.
 
Wakosefu waakili ndio wanadhani vile, sa we unadhani ndege wanaruka vipi kama sio kwa uwezo wa Mungu. Mbona Pilot wa ndege wakiona ndege ina matatizo kidogo wanamuomba Mungu awasaidie wafike salama au na wao n propaganda pia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…