kwani kuna shida gani lakini...au watu wana complicate tu....mbona katuni yenyewe ilikua ya kawaida tu
Angeanza na Ponda na wafuasi wake. Halafu Pope angekemea pia haki ya kuuwawa mtu kwa kosa la kuchapisha kikatuni tuu na wala asiogope kusema ukweli huo. Pope mbona kaka kimyaaa kulaani Boko haramu? Jeshi la Nigeria linapewa kwa makusudi silaha duni sana mpaka viatu vibovu wanapo kwenda kupigana na Boko Haram. Pop angeyasema yote haya.
Eti kwani kuna shida gani we unajua hio cartoon sio shida, tatizo lina kuja kwanini waseme ni ya Mtume Muhammad unadhani Mtume Muhammad sawa sawa na kina Pope au mtu yoyote dunaini. Kumbuka kitu hapa Qur'an inasema Mitume wote wako sawa hatuwatofautishi kati ya Yesu na Muhammad au wengine. Isipokuwa kwa Mungu Mtume Muhammad yeye na Mtume Ibrahim ndio kawaweka jua ya Mitume wote yani hata Yesu hata weza kumfikia katika utukufu wake.
Sa nyie wakristo mmeisha zowea kutuka Mitume wa Mungu, hata Yesu mnamsema ni gay(Shoga) na hapo hapo mnasema Mungu sa tuwafahamu vipi? According to Gospel of Thomas; Jesus was gay because the "one" he loved was a young, supposedly attractive/ feminine, boy named John. He's got a long woman's hair style he wears a dress and his lover is called John. It's actually in the bible if Christians bother to read it and he lays on Jesus chest. Also, the same boy is caught running away from the romans in the bible and his dress/gown falls down and he is NAKED. Uneducated christians don't read their own lazy book. And in the Gospel Of Thomas Jesus drips the boy naked and spends the night with him teaching him the ways. Read your books lazy Christians. cc 2013 and Ishmael.
Shukran sana
imekaa vema
Hilo Limit of expression isiwe pale tu waislamu wanapoguswa, waislamu wAna kashifu SANA sana ukristo, kama wangekuwa SI watu wa Subira. Saa hizi dunia haipo
Toka kwenye box ndiyo ujadili. Allah ndiye kamweka juu Muhammad lakini sio Mungu.
Kama kuna Uhuru WA kuabudu lazima na Uhuru WA kutoa maoni uwepo
Mimi kwangu Yesu ni Mungu lakini dini nyingine hawamwamini wanayohaki ya kutoa maoni kadri ya mtazamo wao.
Muhammad sio mtume Bali ni mharifu kwa imani yangu hivyo nikitoa maoni kwa mrengo huo nisirushiwe mawe.
Sa we unaikubali Bibilia au huikubali, twachane hapo na QUR'AN kwanza. Bilia zinasema Yesu si Mungu, zinasema Yesu ni kichaa na zina sema ni gay(shoga) sa we Mungu wako vipi mumtukane au huwa hamsomi bibilia dogo. Hizo bibilia zenu ni ushetani mtupu dogo.
Unafiki utaendeleza maafa duniani ! Hivi Uhuru WA kuabudu maana yake ni tofauti na Uhuru WA kutoa mawazo ? Inawezekana ibada yangu ikakamilishwa na kutenda kile ambacho kwa mwingine ni kashfa ! Papa alitakiwe ahimize watu kujiamini katika imani zao na kujibu hoja kinzani kwa wanaopinga au kulashfu pasipo kurusha mawe,mabomu au risasi.
Uhuru WA maoni upiganiwe na kila.binadamu mwenye busara.
Maoni ya Muhammad kuwa Yesu so Mungu wala hakusurubiwa msalabani yajibiwe kwa hoja sio kwa mabomu vivyo hivyo maoni kuhusu Muhammad yajibiwe kwa hoja sio risasi.
Ukisha weka Uhuru WA kuabudu lazima ufungashe kwenye Uhuru WA kutoa maoni pasipo mipaka la sivyo hata Uhuru WA kuabudu uwekewe mipaka...
Sio kwa mkatoliki maana neno la papa ni amri kwa mkatoliki yeyote. Sasa wewe jifariji hapa.Hayo ni maoni ya pope mwenyewe,hayana cha kufanya kuhusu uhuru wa kuongea.
Watu lazima waongee,upende au usipende hiyo ni juu yako.
Kakende; Sa we unataka kuipinga Qur'an inacho sema, kwa sababu ipi leta dalili zako? Hebu nipe dalili kila kinacho semwa Qur'an basi hakita kuja tokea.
Haya ngoja kina Kakende na genge lake waje kumpinga papa.
Busara tupu
Sijakujibu sababu ni swali la kitoto ulilo uliza, nani kasema kule peponi watu watazaa. Kule dogo we unakula utamu tena utamu huwezi kusikia una harufu mbaya au nini uanukia tu, wahi usije kukosa utamu wa peponi dogo. Sahau kama Yesu kafa kwa dhambi zako, ukibaki na ujinga huo utajilaumu wewe peke yako.
Kule peponi dogo pombe za kule sio za kikristo zinazo poteza watu akili, sex ya kule sio inatoa uchafu. Toka lini peponi ikawa na kahaba? Kwani hio pepo ya kikristo.Utamu gani huo mkuu, Ngono na Mito ya pombe, is that you mean? Unataka kutuambia kwamba mbinguni ni mahala pachafu namna hiyo, Ukiwa na Mito ya Pombe na Makahaba kuna tofauti gani na Dangulo?. Na kama hakuna kuzaa maana yake kwenu Waislam Ngono ndio kiburudisho siyo?
Wacha uwongo toka lini Qur'an inapinga uwepo wa Mungu.Mimi simpingi Papa, yuko sahihi 100%, siku zote mimi napambana na wajitoa Muhanga kwa ajili ya Allah. Ingawa Quran inakana uwepo wa Mungu, hivyo tunaamini kuna spirit behind inayowatuma Waislam kuwa wamwagaji wakubwa wa damu duniani
Kakende; Sa we unataka kuipinga Qur'an inacho sema, kwa sababu ipi leta dalili zako? Hebu nipe dalili kila kinacho semwa Qur'an basi hakita kuja tokea.