Papa Francis awaasa 'Mafia' kutubu

Papa Francis awaasa 'Mafia' kutubu

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,692
Reaction score
14,079
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amewaonya wanachama wa genge la Mafia kwamba watakwenda motoni iwapo hawatatubu dhambi zao.

Akizungumza katika sherehe ya maombi ya ndugu na jamaa za waathiriwa wa genge hilo waliouawa nchini Italia,Papa Francis amesema kuwa wanachama wa kundi hilo hawawezi kutumia fedha wanazopata kwenda peponi.

Wakati wa ibada hiyo majina ya watu 800 waliouawa na wanachama wa genge hilo yalisomwa.

Waandishi wanasema kuwa lengo la ibada hiyo ilikuwa kuonyesha kwamba kanisa katoliki linapinga uhalifu mbali na kujitenga na wakuu wa genge hilo wanaodai kuwa wafuasi wakubwa wa kanisa hilo.
 
Actually ni kweli kua mafia ni wakatolic na waaminifu kwa imani yao,nahii ni kwasababu catolic asili yake ni hapohapo italy,tena mafia zamani walikua wanaingilia mchakato wa kuteua papa.
Huyu pope ajichunge sana.
 
kuna wengine hawaamini uwepo wa jahanam kwahiyo papa kuwambia kuwa watachomwa moto hawatakuelewa naona utafute mbinu mbadala
 
mafia mi hata siwajui ngoja nipite zangu

Mafia is a type of organized crime syndicate that primarily practices protection racketeering - the use of violent intimidation to manipulate local economic activity, especially illicit trade; secondary activities may be practiced such as drug-trafficking, Loan sharking and fraud. Being bonded together by a code of honour, in particular the code of silence (or omertà in southern Italy), safeguards the Mafia from outside intrusion and law enforcement action.[SUP][1][/SUP]
The term was originally applied to the Sicilian Mafia, but has since expanded to encompass other organizations of similar methods and purpose, e.g. "the Russian Mafia", "the Japanese Mafia", or "the Albanian Mafia". The term is applied informally by the press and public; the criminal organizations themselves have their own terms (e.g. the Sicilian and American Mafia calls itself "Cosa Nostra", the Mexican Mafia calls itself La Eme and the "Japanese Mafia" calls itself yakuza). When used alone, "Mafia" typically refers to either the Sicilian Mafia or the American Mafia.
 
nasikiaga tu stori ya mafia

HATA TANZANIA YA LEO WAPO!

Kwa dunia ya sasa kila mtu(watu) au taifa lina umafia kwa namna yake sema tu hao wengine walitutangulia zamani kidogo kwahiyo inabidi tutubu tuweze kuionja pepo....
 
Hao MAFIA siyo magaidi?na makao yao si italy?kwa nini marekani haiendi kuwatafuta?
 
Mafia iko sehem nyingi lakini hawajitangazi kama kule rasi ya Italia.
 
Actually ni kweli kua mafia ni wakatolic na waaminifu kwa imani yao,nahii ni kwasababu catolic asili yake ni hapohapo italy,tena mafia zamani walikua wanaingilia mchakato wa kuteua papa.
Huyu pope ajichunge sana.

Mbona unatakuniharibia weekend yangu tena?
 
Hao MAFIA siyo magaidi?na makao yao si italy?kwa nini marekani haiendi kuwatafuta?
kuna italian mafia na pia american mafia,sio rahisi kuwapata kihivyo,hao ni organised crime na wanakua na influence kubwa serikalini.
 
Mbona unatakuniharibia weekend yangu tena?
ndo ukweli mkuu sema wewe hujihangaishi kuutafuta,hao jamaa ni waumini wazuri ila mambo yao usiwaingilie,kwani watakupoteza.

Pope john paul wa kwanza alikua kama huyu fransis.alitaka kufanya reform kwa kanisa.kwastaili ya fyagio la chuma.Akawa ametoa amri ya kuinvestigate Banco Ambrosia,hii ni bank ya vatcan which was used by mafia mob to launder money,poor John paul had to go.
He died mysteriously.
 
Hivi story za motoni na vitisho vingine ndo huwa naonaga hizi dini ni fix tu...

Vitisho vimekuwa vitisho!!!
 
Mafia iko sehem nyingi lakini hawajitangazi kama kule rasi ya Italia.
kule italy sehemu inaitwa cisil ndo chimbuko lao,umafia ni kama culture kwao,kwahiyo inakua open secret,na wanakiapo chao cha Omerta,ukiwachoma kwa polisi,wewe na watotowako,mkeo,babako,babu mtakufa,na haijalishi ipite miaka mingapi,watawasaka popote na kuwaua.
 
Hivi story za motoni na vitisho vingine ndo huwa naonaga hizi dini ni fix tu...

Vitisho vimekuwa vitisho!!!
actually hii issue ilikua hot topic hivi karibuni baada ya kukaririwa akisema,the church beliave there is no hell in the literal meaning of hell where people suffer''.
http://www.olufamous.com/2013/12/breaking-news-there-is-no-hell-fire.html?m=1
 
Back
Top Bottom