Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Status
Not open for further replies.

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
131128175607_papas_afp_624x351_afp.jpg

Papa Francis na alyiekuwa papa Benedict

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amedokeza kwamba huenda akafuata nyayo za mtangulizi wake Papa Benedict kwa kujiuzulu.

Akihojiwa na runinga moja ya nchini Mexico katika sherehe za maadhamisho yake ya pili tangu achaguliwe,Papa Francis amesema kuwa anahisi kwamba uongozi wake katika kanisa hilo hautaendelea kwa kipindi kirefu.

Amesema kuwa hatua ya Benedict kujiuzulu mwaka 2013 ni ya ujasiri na haifai kuchukuliwa kama ya kipekee. Papa Benedict ndiye kiongozi wa kwanza wa kanisa hilo kujiuzulu tangu papa Gregory wa 12 mwaka 1415.

Papa Francis anasema kuwa anatamani maisha yake ya kuwa muhubiri na angependelea kuzuru maeneo kadhaa bila kujulikana.

Chanzo:BBC Swahili
 
Kuna kitu hakuieleweki! Naombeni kujuzwa..

Nimepata shauku ya kujua kwanini wamekuwa hivi siku hizi!? Najua kuna mnaoyaelewa haya mambo kwa uzuri zaidi, tafadhalini piteni hapa tupate faida!

Nawaomba: Ishmael, Ally Kombo, mgen, kahtaan, 2013, FaizaFoxy na wengineo..

Angalizo: Chonde chonde, mihemuko pembeni, Mi nataka kujua tu!

Tuanzie na Papa Benedict, Kwanini Alijiuzulu ghafla? Najua zipo sababu kwa kuwa huu sio utaratibu uliozoeleka kwa Kanisa hili kubwa duniani!

Na kuhusu Mdau uliyesema ni chokochoko za BBC, Una maana gani? Nimepata shauku ya kujua pia aisee!

Sibanduki humu mpaka nipate majibu.......

hahahaha naona unaichochea ligi ya mitusi. Ngoja tuone kama watakuja hawa wanazi.
 
Three corporations that control this world:

1. The City of London "The Crown"
2. The Federal Reserve of America
3. The Vatican

Wote hao wapo kwa ajili ya kufanikisha mipango yao ya ki masonic.
 
Kuna kitu hakieleweki! Naombeni kujuzwa..

Nimepata shauku ya kujua kwanini Hawa Popes wamekuwa hivi siku hizi!? Najua kuna mnaoyaelewa haya mambo kwa uzuri zaidi, tafadhalini piteni hapa tupate faida!

Nawaomba: Ishmael, Ally Kombo, mgen, kahtaan, 2013, FaizaFoxy na wengineo..

Angalizo: Chonde chonde, mihemuko pembeni, Mi nataka kujua tu!

Tuanzie na Papa Benedict, Kwanini Alijiuzulu ghafla? Najua zipo sababu kwa kuwa huu sio utaratibu uliozoeleka kwa Kanisa hili kubwa duniani!

Na kuhusu Mdau uliyesema ni chokochoko za BBC, Una maana gani? Nimepata shauku ya kujua pia aisee!

Sibanduki humu mpaka nipate majibu.......

Mkuu Haya ndio matokeo ya Usanii.
Papa kawaruhusu waliberali wavamie vatican akitegemea Ulimwengu utamuona wa Maana.

Leo dunia mzima Ndoa za waliberali makanisani zimetapakaa kila kona.
Kesi za watoto kubakwa na wachungaji ndio usiseme. Mpaka hapo kwetu Tz Zimejaa kedekede.

Hawa mapapa wa siku hizi wengi wao ni km Bendera tu kufuata upepo.
Hakuna hatta mmoja anaefuata Andiko.
Andiki linasema Waliberali wote wamelaaniwa yeye anasema Hana haki ya kuwashutumu. Sasa andiko lilikosea Kuwashutumu.

Leo America na Ulaya kwa Ujumla Ukristo umepoteza waumini zaidi ya asilimia 90%! Na makanisa yanageuzwa Showroom na miskiti.

Na wakristo wasiporudi na kutekeleza yale yaliomo kwenye andiko lao basi Ukristo uko mwishoni kufa Jumla.
 
Nimevutiwa sana uwasilishaji hoja wa namna hii kwa lugha ya staha isiyokera
yena iliyojaa ujumbe muhimu sana wetu wakristo inafaa wengine waige mfano huu
 
Kuna kitu hakieleweki! Naombeni kujuzwa..

Nimepata shauku ya kujua kwanini Hawa Popes wamekuwa hivi siku hizi!? Najua kuna mnaoyaelewa haya mambo kwa uzuri zaidi, tafadhalini piteni hapa tupate faida!

Nawaomba: Ishmael, Ally Kombo, mgen, kahtaan, 2013, FaizaFoxy na wengineo..

Angalizo: Chonde chonde, mihemuko pembeni, Mi nataka kujua tu!

Tuanzie na Papa Benedict, Kwanini Alijiuzulu ghafla? Najua zipo sababu kwa kuwa huu sio utaratibu uliozoeleka kwa Kanisa hili kubwa duniani!

Na kuhusu Mdau uliyesema ni chokochoko za BBC, Una maana gani? Nimepata shauku ya kujua pia aisee!

Sibanduki humu mpaka nipate majibu.......

pitia uzi wa Rokafeller kule intelligence.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom