Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,310
We jamaa mzima kweli? Per capita ni wastani wa kipato kwa mtu mmoja mmoja kwamba pato likigawanywa kwa watu wote mnapatajeKama una GDP kubwa na idadi ndogo ya watu per capita itakuwa kubwa ndio kama ilivyo kwa nchi za Scandinavia Luxembourg, Singapore, Brunei nk.
Pia kama una GDP kubwa na idadi kubwa ya watu per capita itakuwa ndogo kama ilivyo kwa China, Russia, India nk.
Sasa unavodai Russia eneo kubwa inabidi awe na kipato kikubwa hakuna msingi wa hoja kama hiyo