muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Unaleta link za BBC hapaSomeni hiyo, kwa Uchache mtajua hao Raia ni watu wa Aina Gani...
![]()
Vita vya Afghanistan: Bonde 'lililoshindikana' lililoko umbali wa saa moja kutoka Kabul - BBC News Swahili
Sio mara ya kwanza kwa bonde hilo la kushangaza la Panjshir kuwa kielelezo cha misukosuko ya kihistoria nchini Afghanistan – ilikuwa ngome muhimu wakati wa vita dhidi ya vikosi vya Soviet forces katika miaka ya 1980, na Taliban katika miaka ya '90.www.bbc.com


watu ambao wanapingana hata na jeshi Lao lukiwaambia kwamba hile vita hawaiwezi Western media is
si BBC, sky news, CNN, DW. Ukiangalia repoti zao zote ni biased. Wamekalia women's rights to kulia lia. .....

